Waliowahi kulipwa na bima baada ya kuibiwa gari naombeni ushauri

Waliowahi kulipwa na bima baada ya kuibiwa gari naombeni ushauri

Binafsi niliwahi kuibiwa CARRY ambayo niliikatia BIMA kubwa na thamani ya gari niliyowekea bima ilikuwa 8M. Baada ya uchunguzi na taratibu zote kukamilika, nililipwa 7.6M. hiyo laki nne kuna jina wanaiita nimelisahau. Kuna jamaa ntamcheck then ntarudi na jina la makato hayo
 
Binafsi niliwahi kuibiwa CARRY ambayo niliikatia BIMA kubwa na thamani ya gari niliyowekea bima ilikuwa 8M. Baada ya uchukuzi na taratibu zote kukamilika, nililipqa 7.6M. hiyo laki nne kuna jina wanaiita nimelisahau. Kuna jamaa ntamcheck then ntarudi na jina la makato hayo

Itakua less Excess au less Novice
 
Back
Top Bottom