Waliowahi kulipwa na bima baada ya kuibiwa gari naombeni ushauri

Binafsi niliwahi kuibiwa CARRY ambayo niliikatia BIMA kubwa na thamani ya gari niliyowekea bima ilikuwa 8M. Baada ya uchunguzi na taratibu zote kukamilika, nililipwa 7.6M. hiyo laki nne kuna jina wanaiita nimelisahau. Kuna jamaa ntamcheck then ntarudi na jina la makato hayo
 

Itakua less Excess au less Novice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…