Wakuu habari za humu ndani kama kichwa kinavyojieleza hapo wale waliowahi kumiliki pikipiki. Ana ya shineray tupeni uzoefu wenu kuanzia changamoto zake ,ulaji wa mafuta, uoatikanaji wa spare zake.
Mzee wangu alikuwa nayo na mpaka sasa anayo mwaka wa tano sasa, sikuwahi kumsikia akilalamika kwa lolote. Maybe hazina changamoto. Ila mimi binafsi nilizipenda sana haswa ule mlio wake na rangi yake nyeupe.