Waliowahi kumiliki pikipiki aina za Shineray tupeni uzoefu wenu

Waliowahi kumiliki pikipiki aina za Shineray tupeni uzoefu wenu

MAJANGAMAJANGA

Senior Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
179
Reaction score
92
Wakuu habari za humu ndani kama kichwa kinavyojieleza hapo wale waliowahi kumiliki pikipiki. Ana ya shineray tupeni uzoefu wenu kuanzia changamoto zake ,ulaji wa mafuta, uoatikanaji wa spare zake.

Nawasilisha
 
Picha muhimu
images%20(12).jpg
 
Mzee wangu alikuwa nayo na mpaka sasa anayo mwaka wa tano sasa, sikuwahi kumsikia akilalamika kwa lolote. Maybe hazina changamoto. Ila mimi binafsi nilizipenda sana haswa ule mlio wake na rangi yake nyeupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado ushauri unahitajika kwa mwenye uzoefu.
 
Back
Top Bottom