Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

Nifanye Nini

Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
61
Reaction score
147
Salaam Kwenu wakuu!

kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao.

Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao.

1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi?

2. Mtu akikuita mwehu unapata feelings Gani?
 
Ukirukwa na akili wewe unajiona kama uko sahihi na watu wengine ni machizi.....Kusema ukweli huo ndo ukweli..Binadamu wote ni machizi sema tumekubaliana uchizi kuuita maisha ya kawaida.
Mlokole anasali kwa kugalagala-Uchizi.
Alshabab anajilipua kisa dini-Uchizi
Mtu anakalili likitabu lizima la kiarabu-Uchizi
Uchawa, kulamba binadamu wenzako miguu-Uchizi
Makanisa yanakesha yanasali na kuimba-Uchizi
Mtu kukosa furaha na kuua/kujiua kisa mapenzi au mpira-Uchizi
Kujitesa ili kuwafurahisha watu-Uchizi
Msanii wa kiume kukata mauno stage-Uchizi

Ni mengi sana..ila ukirukwa na akili unaacha kufikiria kawaida...kwahyo vitu vya kawaida unaanza kuviona sio vya kawaida.
 
Ukirukwa na akili hautakumbuka maisha yako ya normal state.

Vivyo hivyo ukisharudi kwenye normal state hautakumbuka maisha yako kipindi akili zimekuruka.

Kunakuwa na mental boundary ambayo kama wangekuwa wanakumbuka state ya awali basi wangeweza kujirudi kwenye hali za mwanzo voluntarily.

Ndo maana kichaa akiua, siku akipona ukamuuliza hatakumbuka chochote.
 
Aisee kumbe Kila mtu dishi limeyumba. Sema maisha magumu sana yaani usiporukwa na akili hutoboi kabisa
 
Ukirukwa na akili hautakumbuka maisha yako ya normal state.

Vivyo hivyo ukisharudi kwenye normal state hautakumbuka maisha yako kipindi akili zimekuruka.

Kunakuwa na mental boundary ambayo kama wangekuwa wanakumbuka state ya awali basi wangeweza kujirudi kwenye hali za mwanzo voluntarily.

Ndo maana kichaa akiua, siku akipona ukamuuliza hatakumbuka chochote.

Unaongelea dissociative identity disorder (DID) Lakini kurukwa kwa akili kuna aina nyingi zaidi ya hiyo
 
Salaam Kwenu wakuu!

kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao.

Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao.

1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi?

2. Mtu akikuita mwehu unapata feelings Gani?
Unakua unaona madude yaajabu
 
Dahhh!!! Wakuu majibu na vihoja vyenu ni kama mleta Mada kaulza watu waliolukwa akili tayali 😂😂😂 au mimi ndio nimelukwa sizielewi hoja zenu make nacheka kwa sauti kila nachokisoma hapa kama chizi 🤣🤣
 
Hili si suala lililo kwenye mpangilio mmoja kwamba kila anayepatwa nalo basi atafanana na mwingine.

Ni hali ambayo hata wewe huenda umewahi kuipitia na wala hukuona shida maana tafsiri kuu ya ugonjwa wa akili ni kushindwa kutofautisha mambo 'hasi na chanya'.

Kwa mfano wakati wewe kwa kawaida hujawahi kuthubutu kucheza mziki kwenye hadhara mara ghafla siku moja unajiona unafanya hivyo na huoni tabu yoyote basi hiyo tayari ni mabadiliko, ingawa huenda ikawa ni kwa muda mfupi tu.

Kiufupi ni hali itakayokukuta automatic na kujikuta unafanya mambo ambayo hukuwahi kuthubutu kuyafanya hadharani, unatembea peku nakujiona uko sawa, nguo imechanika na hujali Mtu anayekuangalia, unaokota kilichotupwa jalalani bila kujali nani anakuangalia n.k.

Hivyo ni wengine ndio watakaoona tofauti na si wewe tena.
 
Ukirukwa na akili unakosa amani. Dini itakupa amani. Scriptures AND meditation. Siyo Scriptures peke yake.
Matatizo ya akili ni matatizo ya sahasrara chakra ambayo ndiyo the highest chakra nayo ipo in the centre of the cerebrum.
Kuhusu akili ukumbuke kwamba Mungu ni Mungu wa wote. Wewe una roho,au bora tuseme wewe una roho mbili,Atman na Brahman. Atman ni Ruhani wako,Ruhani wako na pia ni Ruhani wa watu wengine tisa au kumu, wote mna Ruhani mmoja. Brahman ni Ruhani wa kila mtu. Kwa hiyo watu wanatofautiana katika Atman tu,siyo katika Brahman.
Wamisri Atman walikuwa wanamwita "Ka". Brahman walikuwa wanamwita "Ba". Yaani wale Wamisri wa wakati wa Farao. Tazama hayo majina yanavyofanana na maneno yetu ya Kiswahili ya "Kaka" na "Baba".
Kwa hiyo,kama hauko tayari kukubali kwamba Mungu ni Mungu wa wote,yanaweza kutokea matatizo ya kurukwa na akili.
 
Back
Top Bottom