Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

Ukirukwa na akili hautakumbuka maisha yako ya normal state.

Vivyo hivyo ukisharudi kwenye normal state hautakumbuka maisha yako kipindi akili zimekuruka.

Kunakuwa na mental boundary ambayo kama wangekuwa wanakumbuka state ya awali basi wangeweza kujirudi kwenye hali za mwanzo voluntarily.

Ndo maana kichaa akiua, siku akipona ukamuuliza hatakumbuka chochote.
Uongo, unakumbuka sana, sehemu ulizipita, watu uliokutana nao
 
Ukirukwa na akili unakosa amani. Dini itakupa amani. Scriptures AND meditation. Siyo Scriptures peke yake.
Matatizo ya akili ni matatizo ya sahasrara chakra ambayo ndiyo the highest chakra nayo ipo in the centre of the cerebrum.
Kuhusu akili ukumbuke kwamba Mungu ni Mungu wa wote. Wewe una roho,au bora tuseme wewe una roho mbili,Atman na Brahman. Atman ni Ruhani wako,Ruhani wako na pia ni Ruhani wa watu wengine tisa au kumu, wote mna Ruhani mmoja. Brahman ni Ruhani wa kila mtu. Kwa hiyo watu wanatofautiana katika Atman tu,siyo katika Brahman.
Wamisri Atman walikuwa wanamwita "Ka". Brahman walikuwa wanamwita "Ba". Yaani wale Wamisri wa wakati wa Farao. Tazama hayo majina yanavyofanana na maneno yetu ya Kiswahili ya "Kaka" na "Baba".
Kwa hiyo,kama hauko tayari kukubali kwamba Mungu ni Mungu wa wote,yanaweza kutokea matatizo ya kurukwa na akili.
Mkuu tulikuwa pamoja ila ulipofika Kwa atmani na ruhani ukaanza kukimbia kimsingi umeniacha nyuma.
 
Nyingi ni zile za kujitoa ufahamu kwa ajili ya kutatua tatizo. Baaadaye unarudi kwenye normal state
 
Envolution melancholic disoder hii hasahasa huwakumba akina mama walio katika umri wa utu uzima 48years to55 years......kila chochote utakachomuambia kinacholenga maisha yake huwa anaona kama unamkashifu na kumkejeri...........
 
kama uliwahi kujamba ukaweka mkono ukajinusa jua ulikuwa on the way kurukwa na ulikuwa una-reset ubongo manually in natural way.!
NB : Mimi Sijawahi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja waje ila kuna jamaa namjua kuna kipindi alikuwa "MENTO" ila kwasasa naona amepona ,alikuwa anajua ndugu zake fresh tu na anawatembelea ila ndio hivyo maneno mengi yasioeleweka na pia alikuwa anaweza kuamka saa 10 usiku akatoka na kuanza kutembea umbali mrefu na kurudi kwao au kama mtu alimzingua huko nyuma anaweza akaenda akamletea fujo ya kufa mtu na kuvunja vitu vya ndani.
 
Back
Top Bottom