Nifanye Nini
Member
- Sep 5, 2022
- 61
- 147
Aisee kumbe Kila mtu dishi limeyumba. Sema maisha magumu sana yaani usiporukwa na akili hutoboi kabisaUkirukwa na akili wewe unajiona kama uko sahihi na watu wengine ni machizi.....Kusema ukweli huo ndo ukweli..Binadamu wote ni machizi sema tumekubaliana uchizi kuuita maisha ya kawaida.
Mlokole anasali kwa kugalagala-Uchizi.
Alshabab anajilipua kisa dini-Uchizi
Mtu anakalili likitabu lizima la kiarabu-Uchizi
Uchawa, kulamba binadamu wenzako miguu-Uchizi
Makanisa yanakesha yanasali na kuimba-Uchizi
Mtu kukosa furaha na kuua/kujiua kisa mapenzi au mpira-Uchizi
Kujitesa ili kuwafurahisha watu-Uchizi
Msanii wa kiume kukata mauno stage-Uchizi
Ni mengi sana..ila ukirukwa na akili unaacha kufikiria kawaida...kwahyo vitu vya kawaida unaanza kuviona sio vya kawaida.
Ukirukwa na akili hautakumbuka maisha yako ya normal state.
Vivyo hivyo ukisharudi kwenye normal state hautakumbuka maisha yako kipindi akili zimekuruka.
Kunakuwa na mental boundary ambayo kama wangekuwa wanakumbuka state ya awali basi wangeweza kujirudi kwenye hali za mwanzo voluntarily.
Ndo maana kichaa akiua, siku akipona ukamuuliza hatakumbuka chochote.
π€£π€£π€£ ndo maana ukajiita mad? Au unatania?Ni kama umelala na kuamka. Yaani acha. Unashangaa wanakuambia mwaka 2022 wakati we last time zilikuruka 2012 unakalili Physics.
Ha haaa jamani humu kuna vioja π πkama uliwahi kujamba ukaweka mkono ukajinusa jua ulikuwa on the way kurukwa na ulikuwa una-reset ubongo manually in natural way.!
NB : Mimi Sijawahi.
π€£π€£π€£π€£ umeelewa nini mamii?Nimewaelewa
Unakua unaona madude yaajabuSalaam Kwenu wakuu!
kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao.
Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao.
1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi?
2. Mtu akikuita mwehu unapata feelings Gani?