Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

Uongo, unakumbuka sana, sehemu ulizipita, watu uliokutana nao
 
Mkuu tulikuwa pamoja ila ulipofika Kwa atmani na ruhani ukaanza kukimbia kimsingi umeniacha nyuma.
 
Nyingi ni zile za kujitoa ufahamu kwa ajili ya kutatua tatizo. Baaadaye unarudi kwenye normal state
 
Envolution melancholic disoder hii hasahasa huwakumba akina mama walio katika umri wa utu uzima 48years to55 years......kila chochote utakachomuambia kinacholenga maisha yake huwa anaona kama unamkashifu na kumkejeri...........
 
Yep, I also think it's funny pamoja na Neuroscience kuwa elimu pana kuliko zote kwenye biology lakini mpaka leo tunajua vichache sana kuhusu ubongo..Yani tusivovijua ni vingi maradufu ya tunavovijua
Hakika
 
kama uliwahi kujamba ukaweka mkono ukajinusa jua ulikuwa on the way kurukwa na ulikuwa una-reset ubongo manually in natural way.!
NB : Mimi Sijawahi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja waje ila kuna jamaa namjua kuna kipindi alikuwa "MENTO" ila kwasasa naona amepona ,alikuwa anajua ndugu zake fresh tu na anawatembelea ila ndio hivyo maneno mengi yasioeleweka na pia alikuwa anaweza kuamka saa 10 usiku akatoka na kuanza kutembea umbali mrefu na kurudi kwao au kama mtu alimzingua huko nyuma anaweza akaenda akamletea fujo ya kufa mtu na kuvunja vitu vya ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…