Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Njoo nikuoneshe jamaa anaitwa SHAGIRA aliyekuwa kichaa kabisa tangu namfahamu, yaani inazidi miaka 7...leo nimemkuta Hardware ananunua PVC pipesKatika maisha yangu sijawahi kuona mtu amepona na kutolewa majini akiwa fresha and comfortable na kupona kabisa na majini yasirudi tena.
Nimeona tu Kuna Namna nyingi za kutoa majini na Mashetwani.. mosi ni kwa maombi ya wachungaji au manabii wa makanisa nimeona kwenye TV wakiwashika watu na watu wakipagawa na mapepo kuikubali yanaondoka.
Pili ni kwa Tiba za kiasili lakini yote kwa yote sijawahi kukutana na mtu aliepona kabisa matatizo haya ya Mashetwani. Sasa basi Kama Kuna mtu alishawahi kupitia hili naomba uzoefu wake.
Maana nahisi Kuna kila dalili kwenye huu mwili wangu Kuna mpangaji mpya na halipi Kodi ananiburuza vibaya nahitaji nijue Kama naweza kumuonyesha mlango wa kutokea? Na Kama mna mapendekezo ya watabibu wa haya mambo nipeni link na connection zao.
Asanteni!
Kuuliza nikaambiwa aliombewa nyumbani na mchungaji akapona
Ni leo hii ninemwona