carnte
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 362
- 425
Naanza tuu nilikuwa bright kidogo mmama mmoja mpare mzuri kweli akanikamata Mimi na yeye tutorial tuko wote assignment wote paper wote...ni mzuri kusema kweli...alikua ana akili ila alikua hajiamini ...alikua ananilipia hadi ada ...nkakosa manzi wengi wazuri kwa ajili yake.... Field sikuangaika....sikuwa na mawazo ya mgegedo pamoja na kuniita hadi kwake hadi kuniachia nyumba wakienda likizo za wachaga
Baada ya chuo duu...kanitosa maxima
Wengine wajinga wenzangu kama mpo mje...
carnte himself
Baada ya chuo duu...kanitosa maxima
Wengine wajinga wenzangu kama mpo mje...
carnte himself