Waliowahi kuwa wajinga chuo kama mimi

Waliowahi kuwa wajinga chuo kama mimi

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
425
Naanza tuu nilikuwa bright kidogo mmama mmoja mpare mzuri kweli akanikamata Mimi na yeye tutorial tuko wote assignment wote paper wote...ni mzuri kusema kweli...alikua ana akili ila alikua hajiamini ...alikua ananilipia hadi ada ...nkakosa manzi wengi wazuri kwa ajili yake.... Field sikuangaika....sikuwa na mawazo ya mgegedo pamoja na kuniita hadi kwake hadi kuniachia nyumba wakienda likizo za wachaga

Baada ya chuo duu...kanitosa maxima

Wengine wajinga wenzangu kama mpo mje...

carnte himself
 
Ha ha ha pole mkuu, hukuishi nae kwaakili na wala hukujua baada ya masomo atarudi kwa mumewe.
 
Asanteni nilikua mjinga kweli

carnte himself
 
Nimemiss disco za chuo aisee tulikua tunapiga madem kwa deka mpaka basi
 
Back
Top Bottom