Waliowakandia wachezaji wa AS Vita baada ya kichapo leo wanawasifia

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Baada ya jamaa kupigwa moja pale Kinshasa na kugongwa goals 4 hapo taifa kama kawaida takataka'z zenye hasira na mafanikio ya Simba zikaja na tahmini yao zikidai kwamba AS Vita iliyopiga simba bao 5-0 ya kina makusu ndiyo ilikuwa kali.

Wakadai hiyo iliyopigwa goals 4 ilikuwa imejichokea tu cha ajabu ni kwamba hiyo AS Vita chovu ime-supply karibu wachezaji wa 5 kwa ka team fulani hivi na kwa sasa wale wachezaji wanasifiwa kwelikweli.

Karibu kwenye ulimwengu wa majuha yanayojiiita wachambuzi, jamaa fulani lenye wengewenge lilishawahi kuwaita takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…