Waliozaliwa Feb 29 birthday ni kesho?

Waliozaliwa Feb 29 birthday ni kesho?

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Posts
3,262
Reaction score
8,144
Kama ulizaliwa tarehe 29 wakati mwaka huu unaishiab28 kuna mambo ya baby birthday yangu au bajeti yake tuipangie matumizi mengine?
 
Upuuzi wa kusherekea birthday sijawahi kuufanya
 
Hahaaaaa,mwaka huu walambe miguu tu
 
Subiri 2020 Mkuu.

Kama ulizaliwa tarehe 29 wakati mwaka huu unaishiab28 kuna mambo ya baby birthday yangu au bajeti yake tuipangie matumizi mengine?
 
Back
Top Bottom