Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Hivi kwa mfano unakuta mtu kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili, 29/02, na hii tarehe sio kwamba ipo kila mwaka, mwezi wa pili unakuaga na siku 28 mara kadhaa, inamaana kumbe kuna watu unapita mwaka mzima siku yao ya kuzaliwa haitokei kwenye kalenda?!
Natamani sana ningezaliwa 29/02 maana hizi mambo za kufanyiana birthday kila mwaka sizipendi kabisa, nafanyaga tuu kwa influence ya watu walionizunguka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani sana ningezaliwa 29/02 maana hizi mambo za kufanyiana birthday kila mwaka sizipendi kabisa, nafanyaga tuu kwa influence ya watu walionizunguka!
Sent using Jamii Forums mobile app