OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tena kijana wa kiumeHalafu ukute nikijana wa miaka 30+ anaomba birthday....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kijana wa kiumeHalafu ukute nikijana wa miaka 30+ anaomba birthday....
Wewe ni kabila gani?Tena kijana wa kiume
Muhaya, wewe ni kabila ganiWewe ni kabila gani?
Kumbe basi wewe ni shemeji yangu.Muhaya, wewe ni kabila gani
Oooh, fafanua kiasi hapaKumbe basi wewe ni shemeji yangu.
Kuna kijana wa kihaya namzimikia kila siku namtumia barua anioe.Oooh, fafanua kiasi hapa
Kumbe navyokulia timing kukuomba pm, napoteza muda tuKuna kijana wa kihaya namzimikia kila siku namtumia barua anioe.
Khaa!😂 kumbe unanilia timing na mimi sijui.Kumbe navyokulia timing kukuomba pm, napoteza muda tu
Tunaita kunishikisha mapembe. Sawa, mlie salamaKhaa!😂 kumbe unanilia timing na mimi sijui.
Kuna ndugu yako na mimi namlia time.