Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
pole sana hakuna jambo naona ni la hovyo kama hizo sherehe kwa upande wanguhizi mambo za kufanyiana birthday kila mwaka sizipendi kabisa, nafanyaga tuu kwa influence ya watu walionizunguka!
Ni kwelipole sana hakuna jambo naona ni la hovyo kama hizo sherehe kwa upande wangu
Hivi kwa mfano unakuta mtu kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili, 29/02, na hii tarehe sio kwamba ipo kila mwaka, mwezi wa pili unakuaga na siku 28 mara kadhaa, inamaana kumbe kuna watu unapita mwaka mzima siku yao ya kuzaliwa haitokei kwenye kalenda?!
Natamani sana ningezaliwa 29/02 maana hizi mambo za kufanyiana birthday kila mwaka sizipendi kabisa, nafanyaga tuu kwa influence ya watu walionizunguka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nawashangaa sanaHalafu ukute nikijana wa miaka 30+ anaomba birthday....
Inakuwaje birthday yako iwe siku ambayo hukuzaliwa?Maadamu ulizaliwa siku ya mwisho wa mwezi wa pili basi 28 ni siku ya mwisho ya mwezi. Birthday yako ni 28 badala ya 29
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewasherehe ya kuzaliwa ni jambo muhimu sana kwako mkuu, mpaka ulianzishie uzi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu pole Yao!Hivi kwa mfano unakuta mtu kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili, 29/02, na hii tarehe sio kwamba ipo kila mwaka, mwezi wa pili unakuaga na siku 28 mara kadhaa, inamaana kumbe kuna watu unapita mwaka mzima siku yao ya kuzaliwa haitokei kwenye kalenda?!
Natamani sana ningezaliwa 29/02 maana hizi mambo za kufanyiana birthday kila mwaka sizipendi kabisa, nafanyaga tuu kwa influence ya watu walionizunguka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haileti maana!Maadamu ulizaliwa siku ya mwisho wa mwezi wa pili basi 28 ni siku ya mwisho ya mwezi. Birthday yako ni 28 badala ya 29
Sent using Jamii Forums mobile app