figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
She is a living dead!samuya mwenyewe angekuwa anafanya mambo kwa uhuru wake bila uangalizi na ukaguzi wa kila anachokula au kunywa, angejiua nakuapia, anajitutumua tu ila, she is burning inside.
Tatizo lako ni kuleta habari za kizushi na za umbea zisizojenga sasa habari kama hii inamaana gani kwa jamii wewe umeziona wapi hizo nyuso zooote za hao wabunge??acha uporoshaji bwanaWagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..
Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Acha uongo na uzushi ajiue kwa lipi hasa?samuya mwenyewe angekuwa anafanya mambo kwa uhuru wake bila uangalizi na ukaguzi wa kila anachokula au kunywa, angejiua nakuapia, anajitutumua tu ila, she is burning inside.
Zawadi iliyolowa damu haiwezi kuwa na furaha!Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..
Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Damu ya mtu inanuka, itakuandama mpaka kaburini. Kila akilala zile maiti zilizozagaa mitaani zitakua zinazunguka kwenye ubongo wake kama upepo wa pwani, hatokaa apate amani ya moyo wa utulivu wa nafsi.Acha uongo na uzushi ajiue kwa lipi hasa?
Huyu hana roho... hapo hajisikii chochote, zaidi zaidi anajiona mwambasamuya mwenyewe angekuwa anafanya mambo kwa uhuru wake bila uangalizi na ukaguzi wa kila anachokula au kunywa, angejiua nakuapia, anajitutumua tu ila, she is burning inside.
Sidhani. Yule sio binadamu nahisi. Anaonekana ndio wale mama wa kambo wanaowekea sumu watoto wafe au kuwapiga vibaya na kuwadhuru. Hana utu hata kidogo.samuya mwenyewe angekuwa anafanya mambo kwa uhuru wake bila uangalizi na ukaguzi wa kila anachokula au kunywa, angejiua nakuapia, anajitutumua tu ila, she is burning inside.
Tangu na kabla ya uhuru nchi yetu haijawahi kushuhudia mauaji makubwa kiasi hikiHuwezi kushiriki kuua watu wengi kiasi kile ukabaki salama. Wabunge ni kama washiriki wa haya mauaji sababu uchaguzi ulikuwa kiini macho, uhuni.
Hili ni janga kubwa kuliko yote toka Taifa hili lizaliwe lililotengenezwa na binadamu kwa makusudi kabisa bila sababu yoyote ya msingi kufanya hivyo.
Kwani Ponjoro wa Kinondoni ame guswa na hao wengine.Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..
Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
Wanakuja kuwa face vipi so called wapiga kura?Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..
Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
KabisaHawatakaa wapate amani