figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #21
Sawa mkuu. Ila usiwe unapost siku kichwa chako kimecchanganyikiwa. UnajidhalilishaTatizo lako ni kuleta habari za kizushi na za umbea zisizojenga sasa habari kama hii inamaana gani kwa jamii wewe umeziona wapi hizo nyuso zooote za hao wabunge??acha uporoshaji bwana
Vp kuhusu uharibifu wa Mali halali za wananchi, uharibifu wa Mali zilizojengwa kwa Kodi zetu tunaotembeza karanga barabarani na uporaji (dhulma) kubwa zilizofanywa kwa watu wasio na hatia vimewahi kutokea tangu taifa hili liundwe au kabla?!!!! Tuseme na hilo bs, tusiwe WANAFIKITangu na kabla ya uhuru nchi yetu haijawahi kushuhudia mauaji makubwa kiasi hiki
Me too, she is not herself.Kuna muda namuhurumia sana samuya.
Supporting a system of murderers it will cost them. They need to resign and stand with the people.Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie.
Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana.
Au nafsi zinawasuta?
Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka?
Uzzuri hakuna Mbunge wa Dar ambaye hajafiwa..
Tunacheza ngoma moja. Mlijua wataksokufa hahawahusu
SAHIHI..ni bora ukose vyote ila uwe upstairs vizuriHuwezi kushiriki kuua watu wengi kiasi kile ukabaki salama. Wabunge ni kama washiriki wa haya mauaji sababu uchaguzi ulikuwa kiini macho, uhuni.
Hili ni janga kubwa kuliko yote toka Taifa hili lizaliwe lililotengenezwa na binadamu kwa makusudi kabisa bila sababu yoyote ya msingi kufanya hivyo.