Waliozuiliwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani 2025

Waliozuiliwa matokeo kidato cha nne kurudia mitihani 2025

Joined
Jun 26, 2024
Posts
16
Reaction score
16
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa.

Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam. Amesema wanafunzi hao wameandika matusi ni tatizo la maadili. “Maadili, matusi hayakubaliki chumba cha mtiani na kila mahali, mwaka huu wametokea wanafunzi watano wameandika matusi,” amesema Dk Mohammed.
1737626956172.png
 
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa.

Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam. Amesema wanafunzi hao wameandika matusi ni tatizo la maadili. “Maadili, matusi hayakubaliki chumba cha mtiani na kila mahali, mwaka huu wametokea wanafunzi watano wameandika matusi,” amesema Dk Mohammed.View attachment 3211036
Hahaha
 
Yaani waandike matusi tuwape na nafasi ya kurudia tena?
 
Back
Top Bottom