Pierre bado ana-trend kupitia series anazoshiriki kama Huba, pia ana mkataba wa matangazo na Dstv. Pamoja na hayo, anashriki kwenye deal ndogondogo kibao za matangazo, kama jana alikuwa Songea kwenye ufunguzi wa petrol station.Ilikuwa nguvu ya soda ile, lakini alipanda ndege kwenda Cairo akiwa kwenye pick hours.