Walipatapo kuvuma: Pierre Liquid ndiyo keshapotea ama?

Walipatapo kuvuma: Pierre Liquid ndiyo keshapotea ama?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Walipatapo kuvuma!

Pierre Liquid, fundi furniture wa Keko! Msanii (nikiri tu siijui sanaa yake) na pia shabiki wa Taifa Stars, mwalikwa wa ungeni, shabiki wa KISARAWE!

Kiukweli alivuma!
Alikuja!
Akabamba!

Nimemkumbuka Mariam BIRIANI!
Alipatapo kuvuma!

Nani mwingine?
 
Kule Twitter kuna jamaa anatrend sana anaitwa dottoimeli.
 
Ilikuwa nguvu ya soda ile, lakini alipanda ndege kwenda Cairo akiwa kwenye pick hours.
 
Ilikuwa nguvu ya soda ile, lakini alipanda ndege kwenda Cairo akiwa kwenye pick hours.
Pierre bado ana-trend kupitia series anazoshiriki kama Huba, pia ana mkataba wa matangazo na Dstv. Pamoja na hayo, anashriki kwenye deal ndogondogo kibao za matangazo, kama jana alikuwa Songea kwenye ufunguzi wa petrol station.
 
Back
Top Bottom