- Thread starter
- #21
////////////////////////-----------
eti AD
BF ni bora kuliko mtoto?ukiachika je?mimi nataka mshauri azae na mtu ni mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
////////////////////////-----------
atakapokuwa ndio hapo atalia na kusaga meno.Kama BF ni wa maana kuliko mtoto kitajulikana tu.
ndio maana nasema nina wajibu wa kuwaachanisha ili Agnes azae na mtu ni mtukamwambie hayo hapo juu
hapo ndipo ilipo shughuliMh hii imekaa pabaya,upande mmoja si vyema kuingilia uhusiano wa mtu coz mambo yakibuma lawama zitarudi kwako ila upande mwingine its more likely huyu dada anaweza kukosa mtoto...
Merytina, kumbuka wewe siyo Mungu mpaka uwe na mawazo hayo, hivi unaweza kuongeza urefu wa nywele zako hata mm 1?
Haya sasa akimuacha huyo jamaa na akamtafuta mwingine wakazaa, bahati mbaya mtoto akafariki, utamsaidiaje apate mtoto mwingine? Na si itakuwa kishambiwa hazai tena?
Waache wajiamulie wemyewe mwache Mungu aitwe Mungu, matasa wanazaa.
Home:Arusha,mama mchagga,baba mngoni.Jina Martina.
Mdada Agnes aligundulika 2010 kuwa na uambukizo unaoshambulia Anatomy ya mfumo wa uzazi.
Alichomwa sindano za kuzuia kusambaa kwa ugonjwa ila akapewa miaka miwili tu kuhakikisha anafanyiwa upasuaji utakaomzuia kubeba ujauzito maisha yote.
Boyfriend wake alifeli Bsc.Veterinary Medicine SUA mwaka wa nne, baada ya kukaa mtaani miaka miwili akajiunga Muhumbili for Bcs. Medicine na sasa yupo mwaka wa tatu.
Imebaki mwaka Agnes aondolewe kizazi na Bf wake hataki kumpa mimba eti maisha hayataenda as bado anasomeshwa na wazizi kwa hela za kusanya kwa taabu nyingi.
Ndio kwanza wawili hawa wanazidi kupendana.
Agnes anafanya kazi kiwanda cha Vyandarua kwa ujira mdogo.Hii itakuwaje baadae????
Merytina:
I dont see the point ya wewe kuwaachanisha, bcoz:
SIDE NOTE:
- You yourself said Agness ana ujira mdogo, so obviously she wont be able to afford and/or take single motherhood route
- Her time is limited . Say she does decide to leave him, how pray tell will she be able to secure a man to date, and who is willing to have a child with her within a year!!!!??
Lastly , Since you have taken it upon yourself to help her, kwanini usimuunganishie kwa yule uncle wako engineer!!?
sasa Nemo ikiwa nitamuunganisha na uncle ina maana nia yangu ya kuwatenganisha KWA MAZURI IMESHATIMIA.
pili kwa uncle it will take muda mrefu kuingiliana as uncle ni mwoga.
My take:Mtoto si nguo jamani ingekuwa mimi nazaa na mtu ni mtu hata kama simjui jina