Walisoma pamoja: Mbowe na Ndugai pale Kibaha, Lowassa na Dkt. Mwakyembe kule Milambo na Dkt. Slaa na Membe Itaga seminary

Kumbe Mbowe na yeye kasoma...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lusinde na Nkamia.... Hapa na Pale Secondary School

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bia yetu, crimea, kipara kipya, wakudadavua, karol mlapwa hawa pia wamesoma alikosoma mleta mada. Dugu moya..

Sent using iphone pro max
 
Nje ya mada: Nyerere alikuwa na PhD lakini aliendelea kuitwa mwalimu.
Mbona Magufuli anajiita Doctor?! Zamani alipokuwa ujenzi tuliambiwa ni engineer, alipokuwa akifukuza wakandarasi wa mabarabara, Leo hii ni Doctor, hivi ualimu ni mbaya kiasi hiki, mbona ma professor wanajivuna kufundisha vyuo, kwanini walimu hawajivunii kufundisha primary na secondary schools?!
Hata wasomi hawataji primary na secondary walizosoma, wanaanzia vyuo huku chini hawajapita?!
Alumni wa Primary hawapo? Vipi secondary?! High school wapo lakini huku chini siwaoni au tunasahau?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…