Walisoma pamoja: Mbowe na Ndugai pale Kibaha, Lowassa na Dkt. Mwakyembe kule Milambo na Dkt. Slaa na Membe Itaga seminary

Mbowe alisoma sekondari? Vithibitisho tafadhali.
 
Naomba kufahamishwa yule mkuu wa Mkoa wa Dasilamu amesoma na nani?
 
Secondary Mbowe alikuwa anamwonea Ndugai kitaaluma,sasa andunje kapata nafasi ndo maana analipiza kwa kila hali
 
Kweli bana hawa jamaa wanafanana hadi tabia





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…