Walisoma pamoja: Mbowe na Ndugai pale Kibaha, Lowassa na Dkt. Mwakyembe kule Milambo na Dkt. Slaa na Membe Itaga seminary

Wewe unaijua Ununio sec?.....labda alihamia huko baadae lakini Bashe, Polepole na Jerry Slaa walikuwa Benjamin Mkapa!
Labda kama alichelewa kuanza shule Benjamin Mkapa ni shule mpya sana mpaka mtu aliyezaliwa Mwaka 1975 awe amesoma pale!!!
 
KIBAHA ya kipindi hicho ni vipaji maalum, kama Moshi Tech, ilboru, umbwe, Tosa na Mzumbe, mnafikir MBOWE ana Masters ya kupewa kama Madaktari wetu hata kingereza hawajui?
 
Naomba kuuliza na makonda na kigwangala alafu na mwigulu na lugola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…