Walitudhihaki hatukusoma, sasa lawama kila siku

Na ndiyo maana mnaharibu hii nchi na ile elimu yenu mbalimbali kutoka Tamil Nadu, Pakistan.

Hil ni jambo la kujisifia,mkuu?
Ahahahah kwamba elimu mbalimbali toka Pakistan🤣🤣🤣,ila huyu mama waweza kuta ni Gaidi lipo kwenye payroll ya ISIS
 
Ndio nyie waislam vichwani empty kama mtume wenu hakuwa anajua hata kuandika jina lake. Na nyie mmefata Sunna kuwa mambumbumbu
 
Ndio mana nguvu kubwa sana inatumika kuwaweka watoto na wajukuu zao madarakani coz wanajua kwenye fair grounds hawatoboi
 
Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku
Kwani hizo dhihaka huwa ni kweli au uzushi? Lawama hizo wanalalamika kuhusu nini?
Can you please be more specific ila hata sisi tulio mashariki ya mbali tuelewe.
 
Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku
Tatizo la watu wa aina yako ni moja.
Kupenda kuwaweka kwenye makundi waTanzania, na kuufanya uTanzania wao kuwa na hadhi hafifu zaidi ya hayo makundi mnayoyataka.
Haieleweki hasa inapatikana faida gani kwenu kwa kufanya hivyo; maana hata kule kwenye maeneo ambayo ungetegemea kuwa kuna kundi moja hilo mnalolitaka nyinyi, bado matatizo ya misuguano ipo kila mara katika mataifa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…