Walitumia Bilioni 48 kujenga jengo la DAWASA ila leo wanategemea mvua ili wananchi wapate maji

Walitumia Bilioni 48 kujenga jengo la DAWASA ila leo wanategemea mvua ili wananchi wapate maji

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wana haki ya kututeka maana uwezo wao umeshafikia kikomo.

Ukiangalia shida za maji zinazowapata wakazi wa Dar sio kuwatengenezea jengo ndio litasambaza miundo mbinu na utatuzi wa maji.

Hii pesa ilitakiwa kutafuta utatuzi wa upatikanaji maji mfano kufanya recycle.

Kuboresha miundo mbinu ya maji taka ambayo sehemu kama kariakoo na posta bado ni shida.

Haya maji yapo kwenye jengo.
20251213_144451.jpg



Hizi project zimewashinda mkawaza kujenga jengo.

images (7).jpeg
 
Vipaumbele ndo changamoto

Ofisi nzuri Ila bidhaa zimeharibika .
 
Shida nyingine ya DAWASA ni kutegemea vyanzo vichache vya maji kama Ruvu tu kuilisha Dar

Wakati kuna vyanzo vingi vya maji kama mto Rufiji n.k

Hii serikali kipaumbele ni kununua Land Cruiser new model kila toleo jipya likitoka
 
CHADEMA wanataka tuongozwe na SADC na UN huku ikiwa ni nchi huru ,Je unadhani inatosha kuongoza nchi kwa mawazo yao?
 
CCM KUBABEKE ZENU NIMELEWA KONYAGI ADMIN NJOO KONYAGI KABLA HUJANIPA BAN
 
Back
Top Bottom