Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 13, 2025 #1 Wana haki ya kututeka maana uwezo wao umeshafikia kikomo. Ukiangalia shida za maji zinazowapata wakazi wa Dar sio kuwatengenezea jengo ndio litasambaza miundo mbinu na utatuzi wa maji. Hii pesa ilitakiwa kutafuta utatuzi wa upatikanaji maji mfano kufanya recycle. Kuboresha miundo mbinu ya maji taka ambayo sehemu kama kariakoo na posta bado ni shida. Haya maji yapo kwenye jengo. Hizi project zimewashinda mkawaza kujenga jengo.
Wana haki ya kututeka maana uwezo wao umeshafikia kikomo. Ukiangalia shida za maji zinazowapata wakazi wa Dar sio kuwatengenezea jengo ndio litasambaza miundo mbinu na utatuzi wa maji. Hii pesa ilitakiwa kutafuta utatuzi wa upatikanaji maji mfano kufanya recycle. Kuboresha miundo mbinu ya maji taka ambayo sehemu kama kariakoo na posta bado ni shida. Haya maji yapo kwenye jengo. Hizi project zimewashinda mkawaza kujenga jengo.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,009 Reaction score 22,509 Dec 13, 2025 #2 Na hapa ni jana ubungo pembeni tu mwa jengo hilo.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Dec 13, 2025 #3 Vipaumbele ndo changamoto Ofisi nzuri Ila bidhaa zimeharibika .
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,686 Reaction score 18,674 Dec 13, 2025 #4 Wenyewe wana matank yana supply bafuni,chooni,jikoni kwa kodi za wanyonge.
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 9,548 Reaction score 28,817 Dec 13, 2025 #5 Shida nyingine ya DAWASA ni kutegemea vyanzo vichache vya maji kama Ruvu tu kuilisha Dar Wakati kuna vyanzo vingi vya maji kama mto Rufiji n.k Hii serikali kipaumbele ni kununua Land Cruiser new model kila toleo jipya likitoka
Shida nyingine ya DAWASA ni kutegemea vyanzo vichache vya maji kama Ruvu tu kuilisha Dar Wakati kuna vyanzo vingi vya maji kama mto Rufiji n.k Hii serikali kipaumbele ni kununua Land Cruiser new model kila toleo jipya likitoka
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Dec 13, 2025 #6 Akili MGANDO na MABUMUNDA ndiyo wanaamua HATIMA yetu.
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,250 Reaction score 5,509 Dec 13, 2025 #7 CHADEMA wanataka tuongozwe na SADC na UN huku ikiwa ni nchi huru ,Je unadhani inatosha kuongoza nchi kwa mawazo yao?
CHADEMA wanataka tuongozwe na SADC na UN huku ikiwa ni nchi huru ,Je unadhani inatosha kuongoza nchi kwa mawazo yao?
Juuchini JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 1,968 Reaction score 2,832 Dec 13, 2025 #8 CCM KUBABEKE ZENU NIMELEWA KONYAGI ADMIN NJOO KONYAGI KABLA HUJANIPA BAN
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 13, 2025 #9 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw