Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

Mwalimu ngazi ya cheti. 320,000/=

Mwalimu ngazi ya stashahada(diploma ) 540,000/=

Mwalimu ngazi ya Shahada (degree) 720,000/=

Hizo sio take home ,kuna makato ya

Cwt
Nssf
Nhif
Paye
Loan board .....

Baada ya makato ndio vilio vinaanza sasa...[emoji1787]
kituo kausha damu sio
 
Huo ni Uongo....tafuta taarifa zako upya
 
Back
Top Bottom