Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

Walitumia kigezo gani kupanga mshahara wa Mwalimu?

Hii kitu inafikirisha sana kuona mwalimu analipwa 300,000 kwa mwezi Sawa na Bei ya pair MOJA ya kiatu/Raba air Jordan og grade one pale england
Jamii inawalisha matango pori kwamba Mwalimu analipwa kidogo sana e.g laki 3. Ni UONGO. Huko mtaani hawajui kuhusu madaraja ya mshahara. Wanaona kila Mwalimu ni sawa tu. Ukimuambia mwanajamii kuna Walimu wana mshahara wa 9k, 1.2m, 1.6m, 2.2m wanakataa katu katu
 
Back
Top Bottom