Jamii inawalisha matango pori kwamba Mwalimu analipwa kidogo sana e.g laki 3. Ni UONGO. Huko mtaani hawajui kuhusu madaraja ya mshahara. Wanaona kila Mwalimu ni sawa tu. Ukimuambia mwanajamii kuna Walimu wana mshahara wa 9k, 1.2m, 1.6m, 2.2m wanakataa katu katu