Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 4, 2026 #1 Baada ya watu kuanza kuuliza kwa nini jeshi linachukua neno kauli mbiu ya CCM lile neno. Kesho mtarajie wakaitisha vyombo vya habari kama kawaida yao.
Baada ya watu kuanza kuuliza kwa nini jeshi linachukua neno kauli mbiu ya CCM lile neno. Kesho mtarajie wakaitisha vyombo vya habari kama kawaida yao.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,337 Reaction score 138,962 Jul 4, 2026 #2 Jeshi lipi?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 4, 2026 Thread starter #3 RRONDO said: Jeshi lipi? Click to expand... hakuna jeshi .Ila utashangaa kuona mwaipopo katoa ufafanuzi
RRONDO said: Jeshi lipi? Click to expand... hakuna jeshi .Ila utashangaa kuona mwaipopo katoa ufafanuzi
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 3,418 Reaction score 13,000 Jul 5, 2026 #4 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Msudu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2021 Posts 1,399 Reaction score 2,240 Jul 5, 2026 #5 Nani anajali? 😅
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,921 Reaction score 3,390 Jul 5, 2026 #6 Fbn said: hakuna jeshi .Ila utashangaa kuona mwaipopo katoa ufafanuzi Click to expand... Mimi nitarajia msemaji wa jeshi ampe onyo sheikh Mwaipopo lakini hadi sasa Makada wa CCM wapo kmya
Fbn said: hakuna jeshi .Ila utashangaa kuona mwaipopo katoa ufafanuzi Click to expand... Mimi nitarajia msemaji wa jeshi ampe onyo sheikh Mwaipopo lakini hadi sasa Makada wa CCM wapo kmya
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Jul 5, 2026 #7 Hakuna jeshi Tanzania ni Green Guard
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 5, 2026 #8 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw