Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahahaha,sasa kama humu tu kuna NYUZI zaidi ya 10 na zote zinahusu Yanga ikiwa Rwanda ,na waanzishaji ni wao wenyewe .Halafu wanakuja kulalamika kua media zinawapendelea Yanga wakati wao mashabiki wenyewe ndio wanaongoza kuisemea yanga
Nyie ndio mlileta dharau na kuiita timu mbovu na eti ushindi wao ni wa kubebwaKupata vichekesho zaidi tembelea mitaa ya twiga na jangwani kwamba Yanga ni ya 3 kwa ubora Afrika na wakati ni miaka zaidi ya 20 haijaingia makundi Club Bingwa!
WIVU WA ..KENajua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Watu wengine bana.Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
We demu lini umeanza kushabikia mpira.Chizi huwaona wenye akili ni machizi yeye ndo mzima!
Mpira umechezwa live tumeona Yanga 1 - 0 USM Algers , mechi ya pili USM Algers wameikanda Al Ahly, kwa hesabu za shule ya msingi tu Yanga ni mbabe wa USM Algers na Al Ahly ila kwa vile mwenye akili ni mmoja tu pale Msimbazi Mr Rage wengine mbumbumbu basi ni ngumu kuona!
Rekodi za Yanga zinauma sana Makolo na mwaka huu Kwa hizi 5G tunabeba Tena NBC premier league for third time! The plan is 100 unbeaten games in all tournaments!
Hao IFFHS ni vilaza wa kutupwa kuhusu soka, maana ligi zinatofautiana ubora, timu inaweza kuwa na rekodi nzuri sana nyumbani ila ni kwa sababu ligi yao ni dhaifu,Bado mnaweweseka na rank za IFFHS tu? wakati hao hao IFFHS walipoweka rank kuwa Simba ipo juu zaidi ya Sevilla mbona hamkufungua nyuzi nyingi za kuwaponda IFFHS?
IFFHS ina deal na namba tu ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics, wanachokifanya wao ni kupima performance za timu katika michezo yote ya kimashindano wanayocheza yaani ya kitaifa na kimataifa. Wao wana record kila aina ya data inayohusiana na performance za timu mfano idadi ya clean sheets, idadi ya mechi ilizoshinda, idadi ya magoli ya kufungwa, idadi ya magoli yakufunga, n k kila data inachukuliwa katika mechi za ligi kuu, FA na mashindano ya kimataifa.
Narudia tena IFFHS wanapima performance za timu kwa mashindano yote anayoshiriki kitaifa na kimataifa (kila mwanachama wa shirikisho la soka lazima awe na mashindano ya ligi kuu na FA) tofauti na ilivyo kwa shirikisho la CAF wao wana deal na mafanikio ya timu katika mashindano ya CAF
Hao IFFHS ni vilaza wa kutupwa kuhusu soka, maana ligi zinatofautiana ubora, timu inaweza kuwa na rekodi nzuri sana nyumbani ila ni kwa sababu ligi yao ni dhaifu,
ubora wa timu kimataifa unatakiwa kupimwa kwa performance ya timu kwenye mechi za kimataifa, sio ligi za ndani kwa kuwa zinatofautiana ubora
.Hii ni common sense hata kwa watu ambao sio mashabiki wa soka
Ndio hivyo sasa wanatakiwa kuangalia na ubora wa mashindano yenyewe sio namba tu, ndio maana takwimu zao huwa zinapuuzwaSijui kama umeelewa, IFFHS hawaangalii mavuno ya timu bali wanachukua data ya kila mchezo timu inapocheza. Wao hawaangalii mafanikio bali wana deal na namba tu.
Hapa Ni kuomba tuingie makundiAaaahaaa,kolo wanahofu kuwa tunaenda kuachieve kitu amabacho wao kimewashinda Kwa miaka nenda rudi
Yeah mkuuuHapa Ni kuomba tuingie makundi
Tukiingia makundi ,watakuja kutushika fainali
Mbona hukupuuza kipindi kile walipokua wanaiweka Simba juuNdio hivyo sasa wanatakiwa kuangalia na ubora wa mashindano yenyewe sio namba tu, ndio maana takwimu zao huwa zinapuuzwa
Nilizipuuza piaMbona hukupuuza kipindi kile walipokua wanaiweka Simba juu
Kolo bhana
Mkuu kwani umesahau kuwa hao ni nyani? Kawaida nyani akisimama kwa miguu miwili naye anajiona ni sawa na binadamu. Wasamehe bureNajua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
#pirakibegi. Pira pu,pu,puuuuu...puNajua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Aisee kuna shida sehemu.Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.
Kuna magonjwa ya akili yanasababisha kitu kinachoitwa "delusion of grandeur "
Mtu kujisikia ni muhimu kuliko uhalisia ulivyo.
Habu fikiria timu ambayo zaidi ya miaka 20 haijatinga makundi club bingwa, walifanikiwa kucheza fainali ya CAF lakini eti ubora wao ni mkubwa kuliko aliyechukua kikombe.Aliyebeba kombe ni wa 10 huku wao ni wa 3.
USM Algers pia wamefanikiwa kubeba ndoo dhidi ya Al ahly lakini kwa mujibu wa waliodanganywa,hawa sio bora kama wao.
Wenye akili wawili bado hawajasema, huenda wakisema tutaelewa.
Itoshe kusema mashabiki ya Simba hayana akili!Najua ukiwa chizi huwezi kuona kweli nyingi zaidi ya kuwa na picha ya uongo kuhusu we mwenyewe.