samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Ndio waliweza (wazungu) kuunda vitu wakiwa hawana hata picha ya "kugerezea" lakini sisi waafrika/watz tunashindwa kuunda vitu wakati tunaweza kuunda kwa "kugerezea" vya wenzetu! hii wewe unaionaje?
Tunaishia kuripea tu, magari, simu, boti, pikipiki, tv na vitu vingine hata kuripea hatuwezi wakati vipo na tunavitumia vitu kama, Ndege, Meli, na Helkopter. Na vingine hata kutumia hatutumii tunabaki kusomesha mijitu isiyoweza kuichunguza hata dunia na anga lake, sisemi kwenda mwezini (moon) maana huko ndio tutatoa sababu 500 kidogo, lakini ukiwauliza mbona wale wazungu waliweza miaka ile wakiwa hawana hata na picha kichwani watabaki kukukodolea mimacho kama sio li profesa la mambo hayo.
Eti wandugu hebu tusaidizane hapa shida ni nini haswa?