Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imitation is limitationMbona wewe umejitoa? Au wewe ni mzungu? Weka mawazo yako sio kulalama tu! Hilo tatizo ni complex matrix, kuanzia mfumo wetu wa elimu, tamaduni zetu, resources na siasa zetu. Professor peke yake hawezi kwenda mwezini wala anga la karibu. Ku-copy kazi za watu ni against internal copyright laws. Kama bado unawaza kugereza basi safari bado ndefu zaidi
Atakuwa Mhaya. Hata mbwembwe huzioni? Inasemekana they are the most intelligent ethnic group in Africa. Sijui walichogundua though kwani hata mleta mada hajui [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu jaribu kutofautisha matumizi ya H na U.
Ahsante
Nazungumzia kuanzia ziro wakiwa hawana hata mchoro kichwani,lakini sisi waafrika tunashindwa sio tu kwamba kuna michoro,ila kuna vitu halisi kabisa na bado hatuwezi hata kuvigerezea.Kama kulikutwa michoro ya helcopter kwenye mapango (sikumbuki ni wapi) sio bure walianzia huko kugerezea
Au elimu yetu tunasoma hili tufaulu mitihani na mwisho wa siku tupate kazi .....???Tatizo ni akili.Na wachache wenye nazo ni wabinafsi.Achia mbali ujinga mwingine kama husuda,wivu mbaya,uvivu aina zote,kutojiamin,unafiki,woga namengine meng ya ovyo.Siku tutakayoacha ayo kisha tukawekeza kwenye elimu fanya kazi badala ya elimu jibu mtihani nadhan tutafika mbali.Ila kwasasa bado safar ni ndefu maana hata kutunza muda tu imetushinda.
Toa maoni yako basi kuhusu mada iliopo,na achana na mambo ya kujadili makabila ya watu,kwasababu tayari yapo na kwa wewe hata ukiongea kejeri vipi huwezi kuyafuta ktk uso wa dunia.Atakuwa Mhaya. Hata mbwembwe huzioni? Inasemekana they are the most intelligent ethnic group in Africa. Sijui walichogundua though kwani hata mleta mada hajui [emoji23][emoji23][emoji23]
walitumia tekniki nzuri sana.Nasikia India walizuia kuingiza bidhaa zote za nje kama vile baiskeli, friji, pikipiki, magari nk. Hivyo vilivyokuwepo vilipofikia mwisho wakaendelea ku-ripea na ku-ripea mpaka wakaweza kutengeneza vya kwao.
Tatizo ni sisi wenyewe akil zetu zilivyo.Wewe angalia mfumo wetu wa elimu yakiafrica ulivyo na mlundikano wa masomo na angalia na mifumo ya wenzetu weupe ilivyo.Alafu angalia waafrica waliopata elimu yao uko kwa weupe uone tofauti yauelewa wao ila wanashindwa kuiaply uku africa.Kwaiyo tatzo ni sis wenyewe maans kama tungeamua kubadilika tungeweza kutafit vyakwetu na kujifunza vya kwetu kwamazingira yetu ila tunalazimika kujifunza vya wenzetu kwasababu hatuna vyakwetu.Sasa shida nijins tunavyojifunza vya wenzetu kwa mazingira na mifumo yetu mibovu.Mimi nafikiri Waafrika either tunalishwa elimu ambayo haina big impacts katika inventions and discoveries zaidi ya kutumika katika white color jobs kama wasaidizi wao na wao wenyewe (wazungu) kubakia na elimu yenye impacts katika gunduzi mbalimbali.
Au yote hayatunayoyajua kupitia elimu hii waliyotufundisha ni vitu ambavyo si halisi (yaani tunaish gizani) mfano elimu ya anga na gunduzi mbali mbali za galaxies na all heaven bodies na hayo mambo ya kwenda mwezini na chunguzi mbali mbali za kisayansi zinazofanyika, mambo ya dini na mifarakano yote inayotokea duniani. Kwamba yote haya yamefanywa for certain purpose whether to hide the truth( nature tunayotakiwa tuiishi ndani yake) ili hao wachache wenye kuanzisha elimu hizi ambazo hazina impacts wabakie katika ubora wao huku wakifurahia waafrika kuwa katika hali hii tukitumika katika majaribio ya gunduzi zao ili kupunguza mgongano kama tungeijua hiyo nature(hali halisi na hayo wayajuayo wao)
Binafsi naamini kabisa kuwa so certain knowledge has been reserved for theselves na waafrika kupewa makapi ili daima tubaki chini yao. Ni waafrika wachache wanaofanikiwa kufundishwa kwa malengo maalumu hizo knowledges wanazozificha kwetu.
Tafadhali soma hizo sites naamini utakapozimaliza utakwa na JIBU, waafrika wameshafanya mengi sana dunian ila tu hatujiamin na kujithamin ss wenyeweNdio waliweza (wazungu) kuunda vitu wakiwa hawana hata picha ya "kugerezea" lakini sisi waafrika/watz tunashindwa kuunda vitu wakati tunaweza kuunda kwa "kugerezea" vya wenzetu! hii wewe unaionaje?
Tunaishia kuripea tu, magari, simu, boti, pikipiki, tv na vitu vingine hata kuripea hatuwezi wakati vipo na tunavitumia vitu kama, Ndege, Meli, na Helkopter. Na vingine hata kutumia hatutumii tunabaki kusomesha mijitu isiyoweza kuichunguza hata dunia na anga lake, sisemi kwenda mwezini (moon) maana huko ndio tutatoa sababu 500 kidogo, lakini ukiwauliza mbona wale wazungu waliweza miaka ile wakiwa hawana hata na picha kichwani watabaki kukukodolea mimacho kama sio li profesa la mambo hayo.
Eti wandugu hebu tusaidizane hapa shida ni nini haswa?
Umeongea ukweli mtupu, sasa wewe kwa maoniyako unaona kipi kifanyike ..........???Tatizo ni sisi wenyewe akil zetu zilivyo.Wewe angalia mfumo wetu wa elimu yakiafrica ulivyo na mlundikano wa masomo na angalia na mifumo ya wenzetu weupe ilivyo.Alafu angalia waafrica waliopata elimu yao uko kwa weupe uone tofauti yauelewa wao ila wanashindwa kuiaply uku africa.Kwaiyo tatzo ni sis wenyewe maans kama tungeamua kubadilika tungeweza kutafit vyakwetu na kujifunza vya kwetu kwamazingira yetu ila tunalazimika kujifunza vya wenzetu kwasababu hatuna vyakwetu.Sasa shida nijins tunavyojifunza vya wenzetu kwa mazingira na mifumo yetu mibovu.
sawasawa mkuu,ufanikiwe.....i wish if i can reach that point you have reached.Kwa kweli ni vitu vya kuuzi sana! sana nimekutana na wanafunzi wa SUA. walikuwa wanaelimisha watu kuhusu ufugaji wa samaki. bahati nzuri na mimi nilikuwa natoka shamba kuangalia ni miradi gani naweza fanya? nilikuwa nimepanga kufanya miradi mitatu. (1) kufuga kuku machotara (2) kufuga ngo'mbe (3) samaki! sasa nilipowaona hawa ndugu nikafuraha! nilihisi nimekutana na muujiza wangu! wskanipa kipeperushi. nilitumia kama dkk 15 kukisoma kwa makini! baada ya hapo yakaanza mwaswali. nikawauliza ujenzi wa mabwawa ni gharama sana! mwananchi wa kawaida hawezi kumudu gharama! je? vipi kama nikitumia plastic? wakasema kweli ujenzi ni gharama! pia matumizi ya plastic ni hatari sana! yanateleza sana! kuna mwanafunzi mwenzetu amekufa sua kwa sabbu ya plastic! nikawauliza sasa nyinyi mmekuja suruhisho gani? hawakunijibu! kwa kweli niliwarudishia kipeperushi chao na sikusema nao tena! mimi kwa upande wangu nimeweza kutengena mashine za kutotoresha vifaranga gharama nafuu kabisa! mashine moja inachukua mayai 1200 na ninaziuza kwa sh 600,000@ pia nimetengeneza dawa ya kutibu cocudayosisi na kuhara kwa aina zote! nina ndoto ya kuanzisha kampuni yangu! naamini Mungu atanisaidia!