Waliweza kukiwa hakuna kitu, ila tunashindwa wakati vitu vipo

Imitation is limitation
 
Kama kulikutwa michoro ya helcopter kwenye mapango (sikumbuki ni wapi) sio bure walianzia huko kugerezea
 
Tatizo ni akili.Na wachache wenye nazo ni wabinafsi.Achia mbali ujinga mwingine kama husuda,wivu mbaya,uvivu aina zote,kutojiamin,unafiki,woga namengine meng ya ovyo.Siku tutakayoacha ayo kisha tukawekeza kwenye elimu fanya kazi badala ya elimu jibu mtihani nadhan tutafika mbali.Ila kwasasa bado safar ni ndefu maana hata kutunza muda tu imetushinda.
 
Kama kulikutwa michoro ya helcopter kwenye mapango (sikumbuki ni wapi) sio bure walianzia huko kugerezea
Nazungumzia kuanzia ziro wakiwa hawana hata mchoro kichwani,lakini sisi waafrika tunashindwa sio tu kwamba kuna michoro,ila kuna vitu halisi kabisa na bado hatuwezi hata kuvigerezea.
 
Au elimu yetu tunasoma hili tufaulu mitihani na mwisho wa siku tupate kazi .....???
 
Atakuwa Mhaya. Hata mbwembwe huzioni? Inasemekana they are the most intelligent ethnic group in Africa. Sijui walichogundua though kwani hata mleta mada hajui [emoji23][emoji23][emoji23]
Toa maoni yako basi kuhusu mada iliopo,na achana na mambo ya kujadili makabila ya watu,kwasababu tayari yapo na kwa wewe hata ukiongea kejeri vipi huwezi kuyafuta ktk uso wa dunia.
 
Malengo yetu ni. (1) kupata kazi (2) nyumba nzuri (3) gari zuri (4) na kuwalingia wale tunawazidi kielimu! ona maprof wetu wanavyoporosha majumba ya kulala wageni na mabaar! hata kutengeneza vifungo hawawezi!
 
Nasikia India walizuia kuingiza bidhaa zote za nje kama vile baiskeli, friji, pikipiki, magari nk. Hivyo vilivyokuwepo vilipofikia mwisho wakaendelea ku-ripea na ku-ripea mpaka wakaweza kutengeneza vya kwao.
walitumia tekniki nzuri sana.
 
waafrika tutachelewa sana kufanya maendeleo kama tutatumia muda mwingi kuangali ngozi nyeupe inafanya nini na bila kuangalia na sisi waafrika tufanye nini.
 
Mimi nafikiri Waafrika either tunalishwa elimu ambayo haina big impacts katika inventions and discoveries zaidi ya kutumika katika white color jobs kama wasaidizi wao na wao wenyewe (wazungu) kubakia na elimu yenye impacts katika gunduzi mbalimbali.
Au yote hayatunayoyajua kupitia elimu hii waliyotufundisha ni vitu ambavyo si halisi (yaani tunaish gizani) mfano elimu ya anga na gunduzi mbali mbali za galaxies na all heaven bodies na hayo mambo ya kwenda mwezini na chunguzi mbali mbali za kisayansi zinazofanyika, mambo ya dini na mifarakano yote inayotokea duniani. Kwamba yote haya yamefanywa for certain purpose whether to hide the truth( nature tunayotakiwa tuiishi ndani yake) ili hao wachache wenye kuanzisha elimu hizi ambazo hazina impacts wabakie katika ubora wao huku wakifurahia waafrika kuwa katika hali hii tukitumika katika majaribio ya gunduzi zao ili kupunguza mgongano kama tungeijua hiyo nature(hali halisi na hayo wayajuayo wao)
Binafsi naamini kabisa kuwa so certain knowledge has been reserved for theselves na waafrika kupewa makapi ili daima tubaki chini yao. Ni waafrika wachache wanaofanikiwa kufundishwa kwa malengo maalumu hizo knowledges wanazozificha kwetu.
 
Mmmmh ! Ukijaribu kulileta hilo Tz lazima wakupindue. Katika vitu anavyolalamikiwa Nyerere ni pamoja na kuzuia mitumba isiingie nchini ili viwanda vyetu vikue. Bila maaumivu hakuna cha kukipata,sheria ya asili hiyo. Ukizuia dawa za meno ni shida, uzuie bodaboda zisiingie hata picha yake sijui itakavyokuwa.
 
Tatizo ni sisi wenyewe akil zetu zilivyo.Wewe angalia mfumo wetu wa elimu yakiafrica ulivyo na mlundikano wa masomo na angalia na mifumo ya wenzetu weupe ilivyo.Alafu angalia waafrica waliopata elimu yao uko kwa weupe uone tofauti yauelewa wao ila wanashindwa kuiaply uku africa.Kwaiyo tatzo ni sis wenyewe maans kama tungeamua kubadilika tungeweza kutafit vyakwetu na kujifunza vya kwetu kwamazingira yetu ila tunalazimika kujifunza vya wenzetu kwasababu hatuna vyakwetu.Sasa shida nijins tunavyojifunza vya wenzetu kwa mazingira na mifumo yetu mibovu.
 
Tafadhali soma hizo sites naamini utakapozimaliza utakwa na JIBU, waafrika wameshafanya mengi sana dunian ila tu hatujiamin na kujithamin ss wenyewe

http://www.biography.com/people/groups/famous-black-inventors

http://www.kumatoo.com/african_inventors.html

List of African scientists, inventors, and scholars - Wikipedia

List of African-American inventors and scientists - Wikipedia

Famous Black Inventors
 
te, post: 18702711, member: 292018"]Tatizo ni sisi wenyewe akil zetu zilivyo.Wewe angalia mfumo wetu wa elimu yakiafrica ulivyo na mlundikano wa masomo na angalia na mifumo ya wenzetu weupe ilivyo.Alafu angalia waafrica waliopata elimu yao uko kwa weupe uone tofauti yauelewa wao ila wanashindwa kuiaply uku africa.Kwaiyo tatzo ni sis wenyewe maans kama tungeamua kubadilika tungeweza kutafit vyakwetu na kujifunza vya kwetu kwamazingira yetu ila tunalazimika kujifunza vya wenzetu kwasababu hatuna vyakwetu.Sasa shida nijins tunavyojifunza vya wenzetu kwa mazingira na mifumo yetu mibovu.[/QUOTE]
Umenena vyema mkuu
 
Umeongea ukweli mtupu, sasa wewe kwa maoniyako unaona kipi kifanyike ..........???
 
sawasawa mkuu,ufanikiwe.....i wish if i can reach that point you have reached.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…