Sawa lakini ni yeye au siyo yeye?Hyo picha ukiangalia Vzuri.
Utaona iko edited
Eti kwasababu Fr Kitima hajaandika maelezo. Hata hivyo siyo utaratibu sahihi mtuhumiwa huyu tu awe na utaratibu tofauti na watuhumiwa wengine. Inaonekana huyu ni MNEC ndiyo maana yuko hapo na hii ni dalili kwamba issue ya Fr Kitima ndiyo mwisho hapo. Take my words.