Waliyesema wamemkamata ameonekana kwenye mkutano wa CCM juzi

Swai: Kwanini hajavaa nguo za chama?
 
Siku ikifika hata muda wa kutubu watakosa....tunajua haya malalamiko yetu wakikusanyika au kupigiana simu wanaita hizi ni kelele tu....time will tell
 
Chini ya ccm regime kila kitu kinawezekana kama kukamatwa utakamatwa wewe kwa kesi ya kuku hao jamaa wanajuana kwa rangi.
 
Kila nafsi itaonja umauti, fresh tuu mana ccm wameamua kutuona sisi ni punda wao
 
Hyo picha ukiangalia Vzuri.
Utaona iko edited
Sawa lakini ni yeye au siyo yeye?

Kama siye aliyehudhuria kikao kwa sababu amekamatwa na police una uthibitisho wa picha au video kutoka kwa police wakiwa wanamchukua maelezo?
 
Kama amekamatwa, hakuna Police bail?

Kama amekamatwa, hamjui Sheria inataka usimfikishe Mtu Mahakamani mpaka upelelezi uwe umekamilika kama wa Kesi ya Lissu?

Kama amekamatwa, kwani Police ndio watoa hukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…