Waliyomo ndani ya ndoa!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Asalaam al-yhikum jamii!!!-Usiulize::lol:
Hivi kunaukweli kwamba wanaume wapatapo kibrudisho cha nje hukuta anaelemewa nakupoteza mwelekeo nakukuta kiburudisho kinakuwa na nguvu kuliko wife??
Kiasi kinaweza kikasema kitu kikatekelezwa chapchap!!lakini wife akisema anapuuza!!Naje nikwanini kipaumbele kiende kwakiburudisho na siyo wife??:A S confused:
 

Ukishaita kiburudisho baaaasiiiii hapo umemaliza mfano hujawahi kuona mlevi analaza nyumba yake njaa wakati bia anainunua kwa hela yake? kwa sababu pombe ni kiburudisho na vingi vya viburudisho ni mashetani:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
haya,kazi kwelikweli!viburudisho vina ladha ya aina yake bana acha mchezo kabisa!
 

It depends na huko nje unafuata nini? Angalia usije kula Nyama ya Mbwa
 
nitakuja kufafanua baadae hapa pazito kidogo
 
Wengi hapa watakataa ku-admit, lakini in real life wengi wetu tumeoza kwa nanihiino wa nje!
Kimsingi, hii inategemea vitu viingi sana, na jinsi mhusika anavyoichukulia na kuithamini familia yake!
Lakini wanasema MTAJI MKUBWA WA MALAYA NI AKILI ZA 'MHITAJI-HUDUMA'(YA MALAYA), kwa maana kwamba malaya atatumia kila opportunity anayoona toka kwa mteja wake ili aonekane bora!....huh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…