Walk for health challenge. Shindano la kutembea kuboresha afya. Je Leo umetembea umbali Gani?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
Binafsi Sina zoezi lingine lolote ninalolifanya zaidi ya kutembea. Zoezi hili ni miongoni mwa mazoezi Bora, huimarisha afya ya akili, mwili na roho pia.
Nakukaribisha kwenye ufanyaji wa zoezi hili rahisi.

Leo nimeweza kutembea km 18.15.
 
Wale wanaodaiwa kwenye vitaasisi vya kausha damu nao wanaruhusiwa kutembea hovyo ili wakutane na wadai wao mkuu?
Ukweli TU utawaweka huru. Sio mbaya siku mojamoja mpigie simu jamaa anayekudai, mtoe out kiwanja kikali, mnunulie chakula na vinywaji, mwambie kwa Sasa mambo yangu hayajakaa sawa, mwambie akupe muda kidogo utamlipa.

Hakika atakuheshimu na atakuamini sana. Hatokuwa na nguvu za kukusumbua hovyo
 
Nipo majalala.Kwa sasa nitaanza kutembea kwenye njia za vichochoroni ili nitii kanuni za afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…