Wallace Karia achana na Makonda anakupoteza

Uongozi wa Karia ndio uongozi ambao umeleta mafanikio makubwa ya soka ktk Tanzania.
Hutaki acha, ataendelea kumshirikisha mhamasishaji namba moja wa taifa, Mr. Paul Makonda.
 
Naona unawaza kwa kutumia pua aisee..

Karia ndio wanacheza mpira?? Unataka kutuaminisha hapa kuwa TFF haikuwekeza vya kutosha kwenye timu hii??

Hivi unajua hawa madogo wamekuwa pamoja all most miaka minne iliyopita..malinzi aliwakusanya toka mikoa yote tz akawapeleka pale mwanza kwenye kituo cha alliance academy..baada ya kufikisha miaka kumina sita wakaletwa pale karume kwenye hostel za TFF.

Wamepewa kila kitu wanachostahili wachezaji kupata..wamepelkwa camp ulaya ..wanacheza mechi za kirafiki na timu kubwa tu zenye ushindani..

Wamepelkwa camp Rwanda wanacheza mashindano maalumu..wakawafunga hadi Cameroon..ulitaka wafanywaje tena??

Tunachokuona kwa hao madogo ndio tabia halisi ya watanzania..tabia ya kuridhika mapema na kujiamini kupita kiasi...

Madogo baada ya kukichafua kule Rwanda na kubeba ubingwa wakajipa matumaini hewa kuwa hata afcon ni laini ...

Usisahau hawa pia ndio mabingwa wa challenji ya mwaka juzi nchini Rwanda ...
.
Madogo walivimba kichwa sana..na kibaya zaidi ile ahadi ya milioni 20 na magari ndio ukazidi kuwaover kujihamini na kujiondoa ile hali ya tahadhari..

Madogo walijua watakutana na Nigeria mchekea..na ukitaka kyamini nachosema..tazama game na Nigeria madogo walikuwa wanakila sababu ya kushinda lakini tazama kilichotokea...

So Mimi simlaumu karia hata kidogo..Mzee wa watu kajitahid mnno katika kuhakisha timu inafanya vyema lakini shida inakuja kwa hao wachezaji wenyewe..badala ya wao kucheza wanaingia uwanjani wakiwa na mawazo ya milioni 20 na gari...wenzao wanaingia uwanjani wakiwa na mawazo ya kwenda Brazil Keene kombe LA dunia LA vijana.

Kweli kutompa Kim nafasi kumechangia ila sidhani kama ni kwa kiasi kikubwa..maana wachezaji aliowaacha ni hao hao toka mwaka juzi hawajabadilishwa zaidi ya kuongezwa wawili hivi..

Ukitaka tuelewane katika malalamiko uje na hoja ya kwa nini TFF wakati ikijua fika nnchi za nnje huko tunavijana wazuri na ambao wangeweza kutusaidi kwa nini hawajaitwa kuja kuichezea timu hii..wakaamua kuchukua hawa ambao wamelelewa kihuni mitaani??

Tunawaxhezahi wengi vijana Qatar Kyle..tunao wengi pale Senegal..wengine afrika kusini..wengine guinea kwenye accadmy ya horari achia mbali ambao tunao wengine wengi kwenyw accadmy mbalimbali za ulaya na marekani...

Wenzetu Nigeria katika kikosi chao wanamchezaji anatoka Chelsea academy na wengine wanatoka kwenye academy za ulaya huko...

Ukja na hoja hiyo nitakuamini kuwa tuliboronga katika upande huo..lakini pia nayo inaweza isiwe sababh ha maana sana.

Maana hao madogo wangekuwa wajua umuhimu wa michuano hii walaa wasingekubali kucheza makida na marede uwanjani..hii michuano ni makubwa sana Ila ndio hivyo wao wakawa wanwaza milioni 20 na gari toka kwa mengi waksahau jukumh lao LA msingi.

Mambo ni mengi..na mengi yasiwe mambo
 
Kwanza, Karia anajua uraia wake una utata. Bashite kwa kujua hilo, ametake advantage kujiingiza TFF apate kiki.
Karia anachojua ni kujipendekeza.

Hivi ktk historia ya mpira Tanzania huyo Karia ametokea wapi na kafanya nini huko nyuma mpaka aongoze taasisi ya mpira Tanzania? na Makonda ana background gani ktk soka hapa Tanzania mpaka apewe majukumu ambayo ni too technical kuweza kumudu ili kuwe na positive result?
 
Kwasababu hutajawekeza hatuwezi fanikiwa.......
Ata Karia angefanya vyema kiasi gani matokeo tungeyaona miaka mitatu mbele labda.....
Kama tungekuwa tumewekeza hata mashabiki wasipoingia uwanjani tungeshinda tu.......tunategemea nguvu ya mashabiki sababu hakuna uwekezaji wa maana uliofanyika....hii inatoka kwenye vilabu team b ni za kuokotana....hakuna mipango maalumu.......Tumshukuru malinzi hata kwa hawa madogo japo ana mabaya mengi......yeye ndo aliwapeleka alliance nafikiri...
Kwakuwa hatujawekeza lazima mpira uchezwe mdomoni na kina makonda hakuna cha kulaumu.
 
Kwa Kifupi Serengeti boy imefanya Vibaya kutokana na Ahadi za wanasiasa. Mpira na siasa Ni vitu 2 tofauti.
 
Kwa hiyo bila ya huyo bashite ila mkiwa na poor preparation ulitegemea nafasi gani ktk tournament?
You are not getting the point. Before involving Bashite, the situation is already chaotic. To make matters worse, you involve Bashite. What do you expect?
 
Kila nikiona Makonda anaongea kuhusu mpira huwa najisikia kichefuchefu.....maana utumbo mtupu

Kuhusu Serengeti boys tumefungwa ni laana tu ya Mungu maana watoto wazuri wameachujwa kisa hawana vimemo vya Baba zao wakulima,wametuletea wale vimeo......inafurahisha sana hivi vipigo.

Tukitaka Kufanikiwa Tz achana na local coaches,ni maboya tu hawana weledi
 
Ili Tufanikiwa ni kuwachukua Manyoka wa mtaani ambao hawana mbele wala Nyuma sio mboga 7 hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…