Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale.

In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu usiende mbele, Timu zote zilizo wa tema lile benchi la ufundi ligi kuu zimeendelea kuwa ligi kuu na kuwa bora.

Huyu mtu should be stopped. or else tunapotea. AFCON itakuwa story, progress itakuwa story. Wallace awakazie marafiki zake. hii kitu itamcost sana.

We all want success, hatumsemi kwa nia mbaya.

Wallace karia anajua kusimamia TFF ila friendship itamcost timu ya Taifa.

Soma Pia: Hemed Moroco sijui nini Taifa stars kocha ang'olewe ama atatufikisha AFCON ijayo?
 
Hivi ile timu ya vijana under 17 yakina Dickson Job, Kibwana Shomary, Kibabage, Kelvin Naftal Juma Mushery plus Under 17 yakina Kelvin John Wakiitwa wote wale atuwezi kutengeneza timu kuanzia pale.
 
Kwenye mechi na Ethiopia it was just a simple thing , benchi wangekaa Msuva na Samatta baada ya dkk 45 wangetoka Feisal na Mzize wao wakaingia kubadili mpira. Pia Mombwa na Mnoga walitakiwa kucheza. Huwezi kuweka nje professional players na kufikiri utapata matokeo chanya. Huu ni ujuha unaopaswa kukemewa, timu ni ya nchi sio mali binafsi ya TFF, Morocco na Karia. Watuachie timu yetu.

Otherwise hii ni timu ya ndondo cup, kichekesho cha taifa , timu inacheza kama umishumta!! Timu gani ya taifa iko uwanja wa nyumbani wachezaji muda wote ni kurudisha mpira nyuma kwa kipa mbinu hamna kupasua na kwenda mbele kufunga hadi alipoingia Mudathir. Kocha gani hana mbinu, wachezaji hawampi matokeo ye bado kakomaa tu hafanyi sub!

Mechi zijazo ni jiwe sirikali iingilie hawa wahuni TFF wasiachiwe timu, mashabiki tunaomba tuone wazoefu kina Samatta na Msuva na Mnoga wamo, hatutaki ndondo players wajaze first eleven. Huu si muda wa majaribio ya wachezaji wa ndondo, hapa ni bongo sio Mwanakwerekwe!!

Huyu dingi Karia hatutendei haki wapenda soka na timu ya taifa. Ni muda sahihi Karia anatakiwa kutoka TFF imetosha alichofanya. Kwasasa hana faida na soka letu na hana nia ya kuliendeleza usimba umemjaa na siku zote ukiwa upande wa loosers kama Simba lazima nawe uwe hopeless, sasa ni muda sahihi ufanyike uchaguzi Karia atoke, mashabiki hatumtaki.

Kwa hii timu ya ndondo ya Morocco na Karia tutashika mkia na mashabiki hawatoenda uwanjani. Kama kuna shabiki ana elimu ya ukocha atuambie kwa timu hii ya ndondo ni mbinu gani tutatumia kuweza kuifunga Congo na Guinea ambazo ziko juu yetu kisoka.

Shame on him.
 
Hivi ile timu ya vijana under 17 yakina Dickson Job, Kibwana Shomary, Kibabage, Kelvin Naftal Juma Mushery plus Under 17 yakina Kelvin John Wakiitwa wote wale atuwezi kutengeneza timu kuanzia pale.
Umefikiri kama Jamal Malinzi enzi hizo alivyo kusanya wachezaji mtaani wanaoonekana wanajua mpira akawakusanya kuunda timu ya taifa, walifeli vibaya.
Timu ya taifa inaundwa na wachezaji bora wa wakati huo. Wachezaji bora wanapatikana kwenye ligi bora. Ligi ya NBC sio ligi ya kukupa wachezaji bora wa timu ya taifa. Pia timu ya taifa sio timu ya kukuza vijana wa U17.Vijana wanakuzwa kwenye vilabu ambako watapewa fitness Kwa training, kujua mifumo n.k.
 
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale.

In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu usiende mbele, Timu zote zilizo wa tema lile benchi la ufundi ligi kuu zimeendelea kuwa ligi kuu na kuwa bora.

Huyu mtu should be stopped. or else tunapotea. AFCON itakuwa story, progress itakuwa story. Wallace awakazie marafiki zake. hii kitu itamcost sana.

We all want success, hatumsemi kwa nia mbaya.

Wallace karia anajua kusimamia TFF ila friendship itamcost timu ya Taifa.

Soma Pia: Hemed Moroco sijui nini Taifa stars kocha ang'olewe ama atatufikisha AFCON ijayo?
Nilipoanza kusoma bandiko lako, nikajua umeandika ki uanamichezo. Nilipokutana na malalamiko ya - SIMBA, SIMBA, SIMBA…………nikajua ni USHABIKI tu unaokusumbua. Sikutegemea kuyasikia hayo, kutokana na wachezaji wengi waliochaguliwa kuunda hiyo timu, ni kutoka Yanga. Na kutoka Simba ni wachache. Na majisifu na kejeri tulizisoma hapa.
Sina shaka, wachezaji wengi wangekuwa ni kutoka Simba, MAYOWE yangekuwa ni makubwa sana!
 
Mwisho wa term yao ni 2025 wana pambana sanaaaa waongezewe sasa katiba ipo mna sigina mfike 2029 ? Kisa AFCON Tz .....hawajui wanaweza kufa njiani pia? Ngoja tuoneerrr
 
Nilipoanza kusoma bandiko lako, nikajua umeandika ki uanamichezo. Nilipokutana na malalamiko ya - SIMBA, SIMBA, SIMBA…………nikajua ni USHABIKI tu unaokusumbua. Sikutegemea kuyasikia hayo, kutokana na wachezaji wengi waliochaguliwa kuunda hiyo timu, ni kutoka Yanga. Na kutoka Simba ni wachache. Na majisifu na kejeri tulizisoma hapa.
Sina shaka, wachezaji wengi wangekuwa ni kutoka Simba, MAYOWE yangekuwa ni makubwa sana!
Mi mwenyewe nimebaki kumshangaa tu huyo mleta mada na takataka zake
 
Jana Karia kalifokea taifa zima kuhusu club yake ya taifa kifupi tumuachie team yake
Mi naangalia team ya kushabikia kwa sasa
 
Kufanikiwa ni kuwekeza , Tff Walete benchi la ufundi lenye uwezo mambo ya kubahatisha na mazoea hayaleti faida.
Wachezaji wanaweza kuwa wazuri benchi likashindwa kuwatumia ikiwemo mfumo mbovu .
 
you cant accept facts kuwa ni simba failures. from karia to everyone in the bench.

Nilipoanza kusoma bandiko lako, nikajua umeandika ki uanamichezo. Nilipokutana na malalamiko ya - SIMBA, SIMBA, SIMBA…………nikajua ni USHABIKI tu unaokusumbua. Sikutegemea kuyasikia hayo, kutokana na wachezaji wengi waliochaguliwa kuunda hiyo timu, ni kutoka Yanga. Na kutoka Simba ni wachache. Na majisifu na kejeri tulizisoma hapa.
Sina shaka, wachezaji wengi wangekuwa ni kutoka Simba, MAYOWE yangekuwa ni makubwa sana!
 
Weka ushahidi kwenye hii habari yako.Hao failures ni kina nani?Weka majina ya hao waliorundikwa na Karia.
Bila hivyo ni uzushi tu.Sweeping statements za kuleta bila ushahidi wa majina ni uzushi tu.Hao failures ni kina nani?
 
Back
Top Bottom