Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

Wallace Karia amegeuza timu ya Taifa ya kwake na washikaji wake. Ingawa kafanya makubwa ushikaji utamgharimu

Karia hawezi kuomgoza soka la Tanzania , riadha ilikufa kwa sababu ya viongozi wabovu wabinafsi na taifa stars inakufa huku tunaiona .
 
Kufanikiwa ni kuwekeza , Tff Walete benchi la ufundi lenye uwezo mambo ya kubahatisha na mazoea hayaleti faida.
Wachezaji wanaweza kuwa wazuri benchi likashindwa kuwatumia ikiwemo mfumo mbovu .
Jana tumeona
 
Kitambo tuliwaambia huyo Wallace Karia ni 🚮 ila hamkutuelewa. Imagine huyo Hemed Morocco uwezo wake ni kufundisha timu za madaraja ya kati! Eti anapewa hadhi ya kufundisha timu ya Taifa! Kwa CV ipi?
 
Kitambo tuliwaambia huyo Wallace Karia ni 🚮 ila hamkutuelewa. Imagine huyo Hemed Morocco uwezo wake ni kufundisha timu za madaraja ya kati! Eti anapewa hadhi ya kufundisha timu ya Taifa! Kwa CV ipi?
kachukua kikundi chake cha simba failures kawaweka timu ya Taifa.

morocco ligi kuu APATI TIMU, hana uwezo huo.

karia ni muhuni. huyu wakufukuzwa mapema sana.
 
Wallace karia kachukua washikaji zake wote kawaweka timu ya Taifa, inshort ile ni timu yake na marafiki zake, amna professionalism yoyote iliyo tumika, wote wale ni failures wa Simba SC wameitwa na Simba mwezao wakae pale.

In short wale kama kikundi cha ovyo kinacho sababisha mpira wetu usiende mbele, Timu zote zilizo wa tema lile benchi la ufundi ligi kuu zimeendelea kuwa ligi kuu na kuwa bora.

Huyu mtu should be stopped. or else tunapotea. AFCON itakuwa story, progress itakuwa story. Wallace awakazie marafiki zake. hii kitu itamcost sana.

We all want success, hatumsemi kwa nia mbaya.

Wallace karia anajua kusimamia TFF ila friendship itamcost timu ya Taifa.

Soma Pia: Hemed Moroco sijui nini Taifa stars kocha ang'olewe ama atatufikisha AFCON ijayo?
Ulisema vyema kabisa.
 
Back
Top Bottom