Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu


Sope bin Takadini unateseka sana ila ujue kurukaruka siyo dawa ya ulimbo. Huchomoki kudadadeq. Nyundo nyingine zinakuja
 
Lazima Sheria zisimamiwe....La sivyo unaweza kuzalisha Watu Wa hovyo Sana kwenye Mpira kama Bw.Mhamasishaji bin Kinyesi.
Tatizo lako unatumia makalio kufikiri. Mleta mada amefafanua vizuri sana ila wewe unaleta utaira hapa. Hapo ni sheria Gani zimefuatwa Sasa?

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Andika na mafanikio yake kwa urefu kama huu uliotuandikia hapa ili tupime
 
Karia pale tff apewe mitano 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…