homeless1
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 427
- 950
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace karia amesema kuna taarifa itatolewa, hio ndio itaeleza Kila kitu juu ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga kusogezwa mbele hadi kuahirishwa, lakini kwa sasa hata yeye hajui nini kilitokea.
Karia amesema kuhusu hela za viingilio za mashahiki, zipo salama na hakuna atakaedhurumiwa.
Aidha amesema hela haziko TFF zipo serikalini, kwa kua zinakusanywa kwa mfumo wa serikali wa N Card, huko ziliko ziko kwenye mikono salama katika mfumo wa kielektroniki na kila alielipia kiingilio hatadhulumiwa kwa kua mfumo wa N Card unarekodi.