Wallace Karia kaenda CECAFA kufanya nini?

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,559
Reaction score
19,101
Habari za Jumamosi Wanamichezo wenzangu

Nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa TFF kwenda kugombea na hatimaye kuukwaa Urais wa Shirikisho la Vyama Vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na kati yaani CECAFA. Nimewashangaa zaidi wajumbe waliopiga kura kupitisha hilo!!! Najiuliza ni kwa lipi hasa alilofanya kwenye soka la Tanzania kiasi kwamba aonekane anasifa za kuiongoza CECAFA na alete mapinduzi ya fikra juu ya undeshaji wa shirikisho hilo kwa manufaa ya soka la ukanda huu

Huyu ni mtu ambaye ameshindwa kuboresha uendeshaji wa soka la hapa Tanzania ikiwemo kushindwa hata kuipatia udhamini ligi kuu ya nchini mwetu kiasi kwamba vilabu vidogo vinaumia sana na hivyo kwa kiasi fulani kufanya uwanja wa kiushindani kwenye ligi usiwe sawa

Kina Nicholas Musonye walimfanyia figisufigisu aliyekua katibu Mkuu wa wakati huo Bwana Sam Obingo ambaye alifanikisha mambo mengi makubwa kwa Shirikisho na wakamtoa, matokeo yake CECAFA imekua kama chama cha kuendesha ma bonanza ya vilabu na timu ya Taifa. Imefikia hatua sasa kwenye Senior Challenge Cup mshindi hapati zawadi ya pesa na badala yake washiriki ndio wanatakiwa kulipa Dollar elfu ishirini ili kuingia kwenye mashindano!!!

Uroho wa madaraka ya kupigiwa kura ndio umesababisha Karia aengie huko akiwa hana mkakati wowote wa kumarisha CECAFA! Utabiri wangu ni kwamba anaenda kuizika kabisaa! Sijawahi kumkubali huyu jamaa kupewa uongozi kwa level ya Urais sio tu wa CECAFA bali hata TFF yenyewe
 
Sasa ulitaka aende nani. Nafasi ipo lazima ijazwe au ulitakaje yaani. Maana hata kwenye group la wajinga jinga lazma awepo kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CECAFA ni platform muhimu sana kwa ukanda wetu huu kwa mustakabali wa soka letu. Inabidi wapatikane watu wenye vision na mipango ya kuendeleza soka. Sisi tunaangalia tu mahali ambapo panaweza kua na ulaji
 
Ni uroho tu wa madaraka hana lolote jipya analopeleka huko. Angeimarisha kwanza miundombinu ya soka la Tanzania ikiwa ni pamoja na kutafuta wadhamini wa ligi kuu na kuimarisha timu za taifa ndio aende akatafute majukumu mengine ya kimataifa, otherwise awapishe wengine waongoze soka la Bongo
 
Habari za Jumamosi Wanamichezo wenzangu

Nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa TFF kwenda kugombea na hatimaye kuukwaa Urais wa Shirikisho la Vyama Vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na kati yaani CECAFA. Nimewashangaa zaidi wajumbe waliopiga kura kupitisha hilo!!! Najiuliza ni kwa lipi hasa alilofanya kwenye soka la Tanzania kiasi kwamba aonekane anasifa za kuiongoza CECAFA na alete mapinduzi ya fikra juu ya undeshaji wa shirikisho hilo kwa manufaa ya soka la ukanda huu

Huyu ni mtu ambaye ameshindwa kuboresha uendeshaji wa soka la hapa Tanzania ikiwemo kushindwa hata kuipatia udhamini ligi kuu ya nchini mwetu kiasi kwamba vilabu vidogo vinaumia sana na hivyo kwa kiasi fulani kufanya uwanja wa kiushindani kwenye ligi usiwe sawa

Kina Nicholas Musonye walimfanyia figisufigisu aliyekua katibu Mkuu wa wakati huo Bwana Sam Obingo ambaye alifanikisha mambo mengi makubwa kwa Shirikisho na wakamtoa, matokeo yake CECAFA imekua kama chama cha kuendesha ma bonanza ya vilabu na timu ya Taifa. Imefikia hatua sasa kwenye Senior Challenge Cup mshindi hapati zawadi ya pesa na badala yake washiriki ndio wanatakiwa kulipa Dollar elfu ishirini ili kuingia kwenye mashindano!!!

Uroho wa madaraka ya kupigiwa kura ndio umesababisha Karia aengie huko akiwa hana mkakati wowote wa kumarisha CECAFA! Utabiri wangu ni kwamba anaenda kuizika kabisaa! Sijawahi kumkubali huyu jamaa kupewa uongozi kwa level ya Urais sio tu wa CECAFA bali hata TFF yenyewe
Alichofanikiwa ni kuifanya TFF kuwa jumuia ya CCM kamaUVCCM
 
Soka la Tanzania linarudi nyuma kwa kasi sana, kuna kazi kubwa ya kufanya ili kuokoa situation kama kweli wanajali maendeleo ya mpira nchini. Jambo la kushangaza huyohuyo failure anakwenda kuomba kuongezewa majukumu mengine makubwa zaidi na hao wajumbe wa CECAFA nao eti wakamchagua!!! Si ajabu soka la ukanda huu lipo nyuma sana.

Siku hizi Madagascar na Comoro wanatuacha na hata Mauritius watatupita tu maana wanaongozwa na watu wenye uwezo wa kuleta maendeleo ya soka
 
Myonge myongeni haki yake mpeni... nyie watu wanafiki wa kutupwa wapotoshaji mliojaa hila... kila pande mpo (kwenye siasa, michezo na kila mahali) mkiendelea kupotosha tuu!! tulishawachoka maana nyie ndo mnaorudisha maendeleo ya nchi nyuma. hamna tathmini ya dhati kazi yenu ni kukatisah tamaa tu! huwezi fananisha karia na wale viongozi wenu waliopita Karia ana startegies sana tu ukitofautisha na wale waliokuwa wanafikiria kupiga tu pale TFF. viongozi wenu wale mnaowasifia walikuwepo kwa ajili ya kuifurahisha simba na yanga tu na si vinginevyo. na ndo maana tulikuwa hatuoni mikakati yoyote ya kuendeleza vijana kama inavyofanyika sasahivi (nafikiri umeona timu ya taifa sasahiv angalau tuna vijana wengi tu wanachezea vilabu vya nje, tuna timu nzuri za vijana under 20, 19.... tuna timu za wanawake za wakubwa , under 20, 19, 17... na zinafanya vizuri sana) nyie mnataka eti alivyochukua tu basi timu ya taifa ianze kuchukua makombe wakati waliotangulia hawakuweka misngi yoyote! naomba nikuhakikishie tu kwamba kama karia ataongoza awamu nyingine mbele basi kuna uwezekano mkubwa tukawa na hazina ya vijana wanaocheza soka la kulipwa wasiopungua hamsini. acheni umbea wa kwnye mitandao....
 
Hatuzungumzii kufanya au kutokufanya vizuri kwa timu ya taifa. TFF inaweza kua na viongozi wazuri kama ilivokua wakati wa Tenga na Mwakalebela lakini suala la kua na timu nzuri ni la muda mrefu

Ninachosema Karia sio kiongozi mwenye mbinu, mikakati na maono yawe ya muda mrefu au mfupi wa kuendeleza soka la Tanzania. Wakati wa uongozi wa hao unawowaita wapigaji ligi kuu ilikua na udhamini wenye kueleweka na wadhamini walikua wanamiminika kuweka pesa kwenye soka na kama wangeendelea hivyo tungekua tumepiga hatua kubwa.

Hao vijana wanaokwenda kucheza nje sio mipango ya Karia wengi wanakwenda kwa connection zao. Na wala usiunganishe suala la kutokua na imani na Karia eti ni kukosa uzalendo na kurudisha nyuma maendeleo ya nchi!!! Haviusiani kabisa, usitafute huruma na kichaka cha kujifichia madhaifu yenu huko. Sisi ni wazalendo kukuzidi na ndio maana tunataka maendeleo ya soka la nchi yetu

Angeficha mapungufu yake basi kwa ku concentrate kwenye uongozi wa soka la hapa nchini, atengeneze miundombinu mizuri ya soka kuchezwa ikiwa ni pamoja na kutafuta wadhamini wa ligi zetu kabda ya kukimbilia kuchukua majukumu mengine makubwa zaidi ambayo angeweza kuwaachia watu wenye uwezo na muda wafanye hivyo. Huo ni uroho wa madaraka
 
Asante kwa kuweka sawa mambo.Kwa ukweli Karia kafanya mambo mengi kwenye soka letu.
Kwanza timu yetu ya taifa imecheza Afcon baada ya kupita miaka takribani 39,je jiulize wamepita marais wangap TFF?
Timu zote za taifa kupitia ngazi zote zina shiriki kwenye mashindano tofauti tofauti kinyume na zamani.
Pesa kutoka FIFA zimeongezeka kutoka dollah za kimarekani 250000 mpaka dollah 1250000 kwa mwaka.
Ongezeko ili ni kutokana na ufanisi wa shirikisho letu kwa sasa,ikiwemo uwazi wa matumizi ya kipesa,ushirikishwaji kwa wadau wa soka.
Tumeshuhudia kwa Mara ya kwanza nchi yetu ikipata nafasi 4 za ushiriki wa klabu zetu kwenye michuano ya kimataifa.
Kuhusu mdhamini mkuu wa ligi tayari Vodacom kapatikana baada ya msimu mmoja kukosekana mdhamini.
Duniani ligi kukosa mdhamini mkuu sio jambo la kushangaza kabisa kwa mtu anae fahamu soka.
Ligi kuu ya England ( EPL) mpaka sasa ni msimu wa tatu haina mdhamini mkuu baada ya Barclay bank kumaliza mkataba wao.
Ajabu hatusikii wachambuzi uchwara wakitoa lawama kwa FA au kampuni ya kuendesha ligi ya EPLL.
Karia kafanya mambo mengi sana kwa soka letu,sema kuna watu wana penda kulaumu tu bila kuangalia mafanikio yetu.
Myonge myongeni haki yake mpeni... nyie watu wanafiki wa kutupwa wapotoshaji mliojaa hila... kila pande mpo (kwenye siasa, michezo na kila mahali) mkiendelea kupotosha tuu!! tulishawachoka maana nyie ndo mnaorudisha maendeleo ya nchi nyuma. hamna tathmini ya dhati kazi yenu ni kukatisah tamaa tu! huwezi fananisha karia na wale viongozi wenu waliopita Karia ana startegies sana tu ukitofautisha na wale waliokuwa wanafikiria kupiga tu pale TFF. viongozi wenu wale mnaowasifia walikuwepo kwa ajili ya kuifurahisha simba na yanga tu na si vinginevyo. na ndo maana tulikuwa hatuoni mikakati yoyote ya kuendeleza vijana kama inavyofanyika sasahivi (nafikiri umeona timu ya taifa sasahiv angalau tuna vijana wengi tu wanachezea vilabu vya nje, tuna timu nzuri za vijana under 20, 19.... tuna timu za wanawake za wakubwa , under 20, 19, 17... na zinafanya vizuri sana) nyie mnataka eti alivyochukua tu basi timu ya taifa ianze kuchukua makombe wakati waliotangulia hawakuweka misngi yoyote! naomba nikuhakikishie tu kwamba kama karia ataongoza awamu nyingine mbele basi kuna uwezekano mkubwa tukawa na hazina ya vijana wanaocheza soka la kulipwa wasiopungua hamsini. acheni umbea wa kwnye mitandao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumpe muda mkuu! Tusubiri tuone tusifike hitimisho bado mapema
Ni wazo zuri mkuu kwamba tufanye subira na tumpe muda, ila hoja yangu ni kwamba ange concentrate kwenye TFF ambapo kuna mambo mengi ya kufanya kuliko kujitwisha jukumu jingine la Urais wa CECAFA ambayo nayo inataka shughuli kubwa ya kuijenga upya
 
Asante kwa kuweka sawa mambo.Kwa ukweli Karia kafanya mambo mengi kwenye soka letu.
Kwanza timu yetu ya taifa imecheza Afcon baada ya kupita miaka takribani 39,je jiulize wamepita marais wangap TFF?
Timu zote za taifa kupitia ngazi zote zina shiriki kwenye mashindano tofauti tofauti kinyume na zamani.
Pesa kutoka FIFA zimeongezeka kutoka dollah za kimarekani 250000 mpaka dollah 1250000 kwa mwaka.
Ongezeko ili ni kutokana na ufanisi wa shirikisho letu kwa sasa,ikiwemo uwazi wa matumizi ya kipesa,ushirikishwaji kwa wadau wa soka.
Tumeshuhudia kwa Mara ya kwanza nchi yetu ikipata nafasi 4 za ushiriki wa klabu zetu kwenye michuano ya kimataifa.
Kuhusu mdhamini mkuu wa ligi tayari Vodacom kapatikana baada ya msimu mmoja kukosekana mdhamini.
Duniani ligi kukosa mdhamini mkuu sio jambo la kushangaza kabisa kwa mtu anae fahamu soka.
Ligi kuu ya England ( EPL) mpaka sasa ni msimu wa tatu haina mdhamini mkuu baada ya Barclay bank kumaliza mkataba wao.
Ajabu hatusikii wachambuzi uchwara wakitoa lawama kwa FA au kampuni ya kuendesha ligi ya EPLL.
Karia kafanya mambo mengi sana kwa soka letu,sema kuna watu wana penda kulaumu tu bila kuangalia mafanikio yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kupata timu nne kucheza kwenye michuano ya kimataifa(CAF) huwezi kusema ni juhudi za kina Karia na wewe unajua kilichoibeba Tanzania na wala sio endelevu maana soon tutapoteza fursa hiyo

Unapolinganisha kukosa udhamini kwa EPL na TPL hapo ndio umepotoka kabisaa. FA ya UK iko na uwezo wa kifedha, mikakati, vision wa kuhakikisha vilabu haviumii wala kukosa zawadi zao za ushindi, na hata uwezo wa kiuchumi wa vilabu vyao huwezi linganisha na Tanzania hasa kutokana na udhamini wa matangazo ya television na makampuni makubwa

Hebu Karia atengeneze legacy yake mwenyewe na uongozi wake ili tumu assess kama yeye na uongozi wake, na kwa ushauri angeweza kuziba pengo la kutokua na uwezo kwa kuachia majukumu mengine yatakayomfanya atumikie mabwana wawili kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom