Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
woooi, jamanai, sasa tufanyeje ?Ni mccm pia
BASHITE na masshosti zake huwa wanaongozaga hizo kamatiTeh teh 🎶🎵 teh teh 🤣🤣 🤣 inawezekana hiyo pesa haikuingia TFF mkuu, labda zimeliwa na zile kamati uchwara za ushindi.
Karia ni kirusiHuyo jamaa ana madudu mengi ya ubadhilifu na amejitengenezea system ya kifalme pale TFF, no justice kwenye ile taasisi, anamshambulia Tundu lissu ili apate excuses kwa mkuu kwa anayoyafanya pale...
Sent using Jamii Forums mobile app
pumbav, yaani si tungehamia ihefu?Hivi BASHITE cheo chake cha ushauri mkuu wa THIMBA kiliishia wapi?!
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi BASHITE cheo chake cha ushauri mkuu wa THIMBA kiliishia wapi?!
SureHuyu msomali ni bogus kabisa, kule kwao Somalia watu kutoka Tanzania hawawezi kupewa cheo kama hicho alichopewa hapa. Bure kabisa.
Mkuu bashite alikuwa mshauri mkuu au hukuwa na taarifa hiyo?!pumbav, yaani si tungehamia ihefu?