Wallace Karia: Kuna ma-Tundu Lissu wa kwenye mpira

Wallace Karia: Kuna ma-Tundu Lissu wa kwenye mpira

Hahaha ataonekanaje kama ana Muunga Mkono, hii ni kiki tayari. Ikiwa kweli FIFA au CAF watamtengua, atateuliwa kuwa hakimu wa Mahakama ya kisutu, awe anawakomesha chadema.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa viongozi wengi wa Tanzania hawana lugha ya uongozi na wengi wao huwa hawafikiri kabla ya kusema.

Kitendo cha mheshimiwa Rais Karia wa TFF kumtumia Tundu Antipas Lisu kama " ngao" katika ugomvi wake na Wambura kinathibitisha hilo kwani tofauti na wanasiasa wengine kama Kigwangala, Ridhiwani, Mbowe, Zitto na Mwigulu huyo Lisu hajishughulishi na michezo directly sasa unamnangaje?

Ila tafsiri sahihi ya neno Utundulisu ni tabia ya kuhojihoji bila woga wala mpangalio.
Yawezekana kabisa Karia anaogopa tabia hii ikiota mizizi pale TFF inayoongozwa na wanazi wa Simba yatafumuka mengi....... Kama alivyokuwa yule Katibu mkuu wa RT ( riadha) alipomshikia bango Filbert Bay na kumfyekelea mbali.

Jumapili njema na yenye baraka tele
Maendeleo hayana vyama!
 
CDM waandikieni FIFA; jamaa anataka tutugawa huyu; kumbe wabura yupo sahihi aisee!!
 
Huko Hata Muhimishimiwa Waweza mtania mmepigwa leo na asimind[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kafanyeje lkn Karia??

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ingia page ya Yericko nyerere ama shafii dauda insta uone huyu karia alivyo harisha mharo wa kipindupindu.

mimi binafsi kuanzia leo soka naachana nalo, wabaki ccm wenyewe, kumbe vyama vyote hata mimi wa CCK nlikuwa nimejumuishwa kwenye TFF ya CCM bila kujua, ikifika siku TFF ikawa huru na siyo siasa nitarudi.

Mumgu wa Israel kama kweli unaishi Mwondoe huyu Karia
 
Aina ya uongozi wa Karia haujengi mpira bali unaua. Wakati wa Malinzi alikuwa na plan pamoja na strategy.Alikuwa amepanga tucheze Olympics mwakani na baadaye Kombe la Dunia kwa kuwatumia junior players, programme aliyoasisi. Lakini Anajisifu Kufungia Watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nidhahiri Viongozi hawa tunaowachagua kwenye Vyama vya Michezo wanakuwa na ndimi mbili.Rais wa TFF juzi amekaririwa akimzungumzia Richard Wambura akimfananisha na Mh.Tundu Lissu.Kauli yake imepingwa sana na wadau wa michezo walio wengi wakimtaka aache kujiingiza kwenye Siasa badala yake ajikite kutafuta Wadhamini wa Ligi kuu.Kama anataka Siasa ni Vema akajiuzulu Urais wa TFF na kwenda kugombea Ubunge au Udiwani.Pia akumbuke kuwa Mpira ni Sayansi na sio Siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pindi wanachama au wapenzi wa Simba sc wanapopata nafasi ya kuongoza mpira hapa nchini matatizo na upendeleo kwa timu yao ya Simba huwa makubwa na hawana aibu kabisa hii pia hata kwa viongozi wa serikali hufanya hivyo.
Very sad!
 
Anatuhumiwa kwa rushwa huko caf msomali ni msomali tu
Aina ya uongozi wa Karia haujengi mpira bali unaua. Wakati wa Malinzi alikuwa na plan pamoja na strategy.Alikuwa amepanga tucheze Olympics mwakani na baadaye Kombe la Dunia kwa kuwatumia junior players, programme aliyoasisi. Lakini Anajisifu Kufungia Watu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimbe alikuwa hataki Kina Tundu Lisu ili akipiga mambo yake asijulikane
 
Pindi wanachama au wapenzi wa Simba sc wanapopata nafasi ya kuongoza mpira hapa nchini matatizo na upendeleo kwa timu yao ya Simba huwa makubwa na hawana aibu kabisa hii pia hata kwa viongozi wa serikali hufanya hivyo.
Very sad!
Aiseeee
 
Back
Top Bottom