Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ingia page ya Yericko nyerere ama shafii dauda insta uone huyu karia alivyo harisha mharo wa kipindupindu.Huko Hata Muhimishimiwa Waweza mtania mmepigwa leo na asimind[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kafanyeje lkn Karia??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya uongozi wa Karia haujengi mpira bali unaua. Wakati wa Malinzi alikuwa na plan pamoja na strategy.Alikuwa amepanga tucheze Olympics mwakani na baadaye Kombe la Dunia kwa kuwatumia junior players, programme aliyoasisi. Lakini Anajisifu Kufungia Watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwzi mkubwa msomali yule.. alizima lile tumbo lake likatumbuke keko.Kimbe alikuwa hataki Kina Tundu Lisu ili akipiga mambo yaje asijulikane
Wazuie passport yake. Hakawii kuibukia Somalia kwao.Mwzi mkubwa msomali yule.. alizima lile tumbo lake likatumbuke keko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo !!Wazuie passport yake. Hakawii kuibukia Somalia kwao.
AiseeeePindi wanachama au wapenzi wa Simba sc wanapopata nafasi ya kuongoza mpira hapa nchini matatizo na upendeleo kwa timu yao ya Simba huwa makubwa na hawana aibu kabisa hii pia hata kwa viongozi wa serikali hufanya hivyo.
Very sad!
Uliipeleka au mbwembwe tuNapeleka official complain FIFA inayo husu kuingiza siasa kwenye soka. Karia subiri summons.
Tusihukumu, huenda POLEPOLE na genge laki ndio wamekula kama kawaida ya CCM wengi walavyo kama mchwa.tuache mahakama iamueMwzi mkubwa msomali yule.. alizima lile tumbo lake likatumbuke keko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mccm piaTusihukumu, huenda POLEPOLE na genge laki ndio wamekula kama kawaida ya CCM wengi walavyo kama mchwa.tuache mahakama iamue
Teh teh 🎶🎵 teh teh 🤣🤣 🤣 inawezekana hiyo pesa haikuingia TFF mkuu, labda zimeliwa na zile kamati uchwara za ushindi.Mwzi mkubwa msomali yule.. alizima lile tumbo lake likatumbuke keko.
Sent using Jamii Forums mobile app