Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

Hivi bongo kuna mpira au watu wanaokimbizana[emoji23][emoji23]
 
Karia anatamani ule udhamini wanaopewa ndondo apewe yeye na ligi zake uchwara ili ajipatie pesa
 
Hapa mtu anatafutwa apigwe ban nyingine kilichomfanya ahoji mkataba wa Jiesiemu na Tiefef, mwaka huu atakula jeuri yake.

Nakumbuka kama aliwahi kupongeza hayo mashindano na waandaji wake leo imekuaje tena!!
 
Hapa amekwama kwa kweli mashindano kama yale ya uhai Cup yalitoa vipaji kibao Kabla hayajafa,
Kwa sasa hii ndondo ni muhimu Sana kama tunataka vipaji vilivyopo mtaani.
Hakuna Vipaji vyovyote inavyoibua,wachezaji wengi ni wa Ligi Kuu na Daraja la kwanza. Nitajie wachezaji wa Ndondo Cup wanaocheza Ligi Kuu.
 
Karia aulizwe, je ligi ya mkoa/wilaya ipi ambayo ina mvuto kwa sababu hakuna Ndondo Cup?
 
Hapa amekwama kwa kweli mashindano kama yale ya uhai Cup yalitoa vipaji kibao Kabla hayajafa,
Kwa sasa hii ndondo ni muhimu Sana kama tunataka vipaji vilivyopo mtaani.
Mkuu nitajie wachezaji 5 walioibuliwa toka uhai cup
 
Hana akili huyo msomali ndondo cup imetoa wachezaji kibao wanafanya vizuri ligi kuu akiwemo idi nado wa azam sasa yeye anaangalia upande mmoja tu.
Naomba majina ya hao wachezaji kibao walioibuliwa na ndondo cup nitajie watano tu mkuu
 
Khaaa mwamba ni mbinafsi na roho ya kukunja halafu ndo rais wetu daaa aisee
 
Hakuna Vipaji vyovyote inavyoibua,wachezaji wengi ni wa Ligi Kuu na Daraja la kwanza. Nitajie wachezaji wa Ndondo Cup wanaocheza Ligi Kuu.
Unaongea usichokifahamu
Ndondo inakanuni kuwa katika mechi moja utatumia wachezaji wa 5 tu wa professional league (Premier, Championship na first league)
Kuhusu wachezaji waliotoka ndondo kwenda premier ni wengi mfano Kelvin sabato wa mtibwa
Iddi Nado wa Azam
Musa Mbisa wa coastal union nk
 
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm.

Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu.

Sasa tutaanza kuwa wakali dhidi ya Ndondo Cup.

My take:
Karia baada ya kumfungia Dauda naona vita bado inaendelea, je Karia ataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Dauda na Clouds Fm kwa ujumla? Yapi maoni yako?

View attachment 2137557
Mikoa ambayo haina ndondo cup vipi ligi zake zinabamba?
Way forward hapa ingekua kuboresha ligi za mikoa yote, sio kuwaza kuzuia ndondo cup. Maana kaongelea Dar as if mikoa mingine ligi zao zina mvuto.
Pia, mtazamo mwingine chanya zaidi ungekua yeye kuweza kutafakari pamoja na watalaam wake, ni kwa namna gani wanaweza kutumia ligi ya ndondo ambayo tayari ina mvuto kuichagiza ligi ya mkoa? Wangeweza kuja na mikakati kabambe ya kushirikiana na waandaaji wa ndondo cup ili kupata huo mchagizo (synergism) kati ya ndondo cup na ligi ya mkoa.
Jamaa kazingua sana, nahisi kauli yake hii imeongozwa na hisia zaidi kuliko kuwa objective.
 
Karia kaka angu ina maana unaongoza mpira lkn hujui historia ya ndondo ? Ndondo cup ya sasa ni muendelezo tu, ilianza lucky ranger cup.uhai cup na mpk sasa ndondo cup

Tulionufaika ni wengi mno na hz ndondo.ugomvi wako na dauda usiharibu mpira
 
Sasa kama Ligi inakosa mvuto ,tatizo ni Ndondo CUP kweli?

Kwa hiyo Ndondo Cup ikiwa haipo ndio ligi itapata mvuto?

Yaani una duka lako miaka mingi halina wateja, leo amekuja mwenzako amefanya alichofanya na anapata wateja dukani kwake, unaon suluhisho ni kufunga duka lake 😀😀😀😀
 
Hapa mtu anatafutwa apigwe ban nyingine kilichomfanya ahoji mkataba wa Jiesiemu na Tiefef, mwaka huu atakula jeuri yake.

Nakumbuka kama aliwahi kupongeza hayo mashindano na waandaji wake leo imekuaje tena!!
Shafii mwenyewe kwenye uchaguz
Juz alisema karia tosha

Sasa naona jamaa kamgeuka
 
Back
Top Bottom